Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Maendeleo hayatokei over night wewe acha kuwaza kwa kutumia akili zako za darasa la tatu. Unadhani Tanzania ilipaswa kuwa tajiri baada tu ya kupata uhuru?! Au miaka 20 baada tu ya uhuru?! Mambo hayapo hivyo. Nchi inaendelea ila muda nao una nafasi yake vile vile. Hivyo kama CDM wakitupunguzia fujo na kuifanya serikali isitenge fungu kubwa la pesa kwenye wizara ya mambo ya ndani, definately nchi itasonga mbele kwa kasi zaidi.
Tangu mwaka 1961 mpaka mwaka 1992 Chadema haikuwepo...
Kulikuwa na maendeleo gani..??
Kwa taarifa yako, maendeleo ya nchi hayahitaji miaka 50....
Kuna nchi zimetokomeza umaskini kwa muda mfupi sana, na nchi hizo wala hazina utajiri kama wa Tanzania.
Nikupe data uzione...???