Haya ndio mafanikio ya CHADEMA toka 1992. What a shame!?

WanaJF,

Tokea CDM ianzishwe mnamo mwaka 1992, sasa yapata miaka ipatayo 21.

Lakini katika kipindi chote hiki cha uwepo wa chama hicho katika uwanja wa siasa za ushindani, bado tija ya CDM haijaonekana kabisa, zaidi zaidi ni mambo ya ajabu ajabu tu ndio ambayo yamekuwa yakifanywa na chama hicho ambayo kimsingi mambo hayo ndio huitwa MAFANIKIO YA CDM. Baadhi ya MAFANIKIO ya CDM tangu kuanzishwa kwake ni:

i) Kuchochea mgawanyiko wa kikabila na kikanda nchini. Hapa wamefanikiwa ingawa sio kwa kiasi kikubwa kutokana na kudhibitiwa na serikali ya CCM.

ii) Kushushwa kwa hadhi kwa jiji la Arusha na kupelekea kupungua kwa idadi kubwa ya watalii na kushuka kwa mapato ya jiji hilo. Hapa pameratibiwa na Lema.

iii) Kuhamasisha vijana watumie mihadarati kama vile bangi, gomba, milungi, kuberi na viroba. Hapa wamefanikiwa sana hasa kwa vijana wa Arusha na Mbeya.

iv) Kuwekeza kwenye matusi na fujo. Hapa CDM imefanikiwa mno hasa ukizingatia chama kimemkabidhi hii sekta mtu aina ya Sugu (mb) ili kuweza kuiratibu. Katika historia ya nchi yetu, ni kwa mara ya kwanza tumeshuhudia ngumi kupigwa bungeni pamoja na kutukanwa kwa viongozi wa kitaifa.

v) Kutoa kafara Watanzania kwa kisingizio cha haki ya maandamano na mikusanyiko. Wote tunajua kuwa Mbowe ni mfanyabiashara na miaka ya hivi karibuni baada ya kumwaga damu ya kutosha ya Watanzania biashara yake imeonekana kustawi. Unaweza ku-connect dots hapo.

Haya ni baadhi tu ya mafanikio ya CDM ila ni imani yangu yapo mengine mengi ambayo yamefanywa na chama hicho cha kifamilia. Hivyo kuwa huru kujazia jazia mafanikio unayo yafahamu ya hiki chama

Ha ha ha, mzee wa kutoa singo kila kukicha ila zinabuna! Jaribu kubadili producer au badili label kabisa! Haya nenda kakamate buku saba zako
 
Nilikuwa najiuliza sana mantiki ya serikali kuanzisha Divisheni five na niliumia sana hilo wazo lilipotangazwa kwenye vyombo vya habari na nikajiuliza mara kadha, 'hii serikali yetu inatupeleka wapi?' Leo mawazo yangu yamekwisha kwani kwa thread hii ya Hamy D nimeamini kuwa ni muhimu kuwa na Divisheni five na anafaa kutunukiwa haraka sana ikibidi kwa sherehe nami naahidi kuhudhuria nikialikwa kwani katika wapumbavu, huyu hamy D ana divisheni five ya UPPER CLASS....kwa kweli sikujua kama taifa hili lina watu ambao akili zao zimeduwaa kama Hamy D. Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kuwa ni 'heri kuwa na uchi wa mwili kuliko kuwa na uchi wa akili' HAMY D your brain is totally naked...and you deserve Division five...Congratulation
 
attachment.php

Huyu hapa

Tatizo Lenu BAVICHA hamfikirii kufanya kazi kwa bidii, Mnasubiri Dr.Slaa awe rais eti maisha yatakuwa rahisi.
 
WanaJF,

Tokea CDM ianzishwe mnamo mwaka 1992, sasa yapata miaka ipatayo 21.

Lakini katika kipindi chote hiki cha uwepo wa chama hicho katika uwanja wa siasa za ushindani, bado tija ya CDM haijaonekana kabisa, zaidi zaidi ni mambo ya ajabu ajabu tu ndio ambayo yamekuwa yakifanywa na chama hicho ambayo kimsingi mambo hayo ndio huitwa MAFANIKIO YA CDM. Baadhi ya MAFANIKIO ya CDM tangu kuanzishwa kwake ni:

i) Kuchochea mgawanyiko wa kikabila na kikanda nchini. Hapa wamefanikiwa ingawa sio kwa kiasi kikubwa kutokana na kudhibitiwa na serikali ya CCM.

ii) Kushushwa kwa hadhi kwa jiji la Arusha na kupelekea kupungua kwa idadi kubwa ya watalii na kushuka kwa mapato ya jiji hilo. Hapa pameratibiwa na Lema.

iii) Kuhamasisha vijana watumie mihadarati kama vile bangi, gomba, milungi, kuberi na viroba. Hapa wamefanikiwa sana hasa kwa vijana wa Arusha na Mbeya.

iv) Kuwekeza kwenye matusi na fujo. Hapa CDM imefanikiwa mno hasa ukizingatia chama kimemkabidhi hii sekta mtu aina ya Sugu (mb) ili kuweza kuiratibu. Katika historia ya nchi yetu, ni kwa mara ya kwanza tumeshuhudia ngumi kupigwa bungeni pamoja na kutukanwa kwa viongozi wa kitaifa.

v) Kutoa kafara Watanzania kwa kisingizio cha haki ya maandamano na mikusanyiko. Wote tunajua kuwa Mbowe ni mfanyabiashara na miaka ya hivi karibuni baada ya kumwaga damu ya kutosha ya Watanzania biashara yake imeonekana kustawi. Unaweza ku-connect dots hapo.

Haya ni baadhi tu ya mafanikio ya CDM ila ni imani yangu yapo mengine mengi ambayo yamefanywa na chama hicho cha kifamilia. Hivyo kuwa huru kujazia jazia mafanikio unayo yafahamu ya hiki chama
Wewe kwa ujinga wako prof hatakubaka anaagiza tu, huna akili wewe!
 
Akili yako itakuwa ndogo kama sisimizi..
 
maccm,mizigo kumbe sio mabosi wenu kumbe hata nyie ni mizigo tena ya mavi
 
Hivi kweli mtu mzima unaweza kuka kabisa na kuanza kuandika mambo yasiyo na tija kweli au wengine hamna kazi mnatumikia B7.
 
Back
Top Bottom