Haya ndio mafanikio ya CHADEMA toka 1992. What a shame!?

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
6,997
2,000
WanaJF,

Tokea CDM ianzishwe mnamo mwaka 1992, sasa yapata miaka ipatayo 21.

Lakini katika kipindi chote hiki cha uwepo wa chama hicho katika uwanja wa siasa za ushindani, bado tija ya CDM haijaonekana kabisa, zaidi zaidi ni mambo ya ajabu ajabu tu ndio ambayo yamekuwa yakifanywa na chama hicho ambayo kimsingi mambo hayo ndio huitwa MAFANIKIO YA CDM. Baadhi ya MAFANIKIO ya CDM tangu kuanzishwa kwake ni:

i) Kuchochea mgawanyiko wa kikabila na kikanda nchini. Hapa wamefanikiwa ingawa sio kwa kiasi kikubwa kutokana na kudhibitiwa na serikali ya CCM.

ii) Kushushwa kwa hadhi kwa jiji la Arusha na kupelekea kupungua kwa idadi kubwa ya watalii na kushuka kwa mapato ya jiji hilo. Hapa pameratibiwa na Lema.

iii) Kuhamasisha vijana watumie mihadarati kama vile bangi, gomba, milungi, kuberi na viroba. Hapa wamefanikiwa sana hasa kwa vijana wa Arusha na Mbeya.

iv) Kuwekeza kwenye matusi na fujo. Hapa CDM imefanikiwa mno hasa ukizingatia chama kimemkabidhi hii sekta mtu aina ya Sugu (mb) ili kuweza kuiratibu. Katika historia ya nchi yetu, ni kwa mara ya kwanza tumeshuhudia ngumi kupigwa bungeni pamoja na kutukanwa kwa viongozi wa kitaifa.

v) Kutoa kafara Watanzania kwa kisingizio cha haki ya maandamano na mikusanyiko. Wote tunajua kuwa Mbowe ni mfanyabiashara na miaka ya hivi karibuni baada ya kumwaga damu ya kutosha ya Watanzania biashara yake imeonekana kustawi. Unaweza ku-connect dots hapo.

Haya ni baadhi tu ya mafanikio ya CDM ila ni imani yangu yapo mengine mengi ambayo yamefanywa na chama hicho cha kifamilia. Hivyo kuwa huru kujazia jazia mafanikio unayo yafahamu ya hiki chama
 

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,152
2,000
Sina hakina kama huu ndiyo mwisho wa uwezo wako kufikiri...
Nadhani umewaza vyema ila ungeweza kuwaza zaidi ya hapa...
 

Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,195
Na haya ni baadhi ya mafanikio ya CCM;

1. Kuua viwanda na kuwafanya vijana wakose ajira kwa kiwango kikubwa.
2. Kuongeza kiwango cha wanafunzi kufeli na kuanzisha division five,
3. Kuhimiza ujangili na kupunguza idadi ya tembo kwa kumuwezesha katibu wa chama kuwa na kampuni inayosafirisha meno ya tembo nje ya nchi,
4. Kuwapiga mabomu wazee wa Afrika Mashariki wanapodai mafao yao,
5. Kuwalinda mafisadi na kuendekeza siasa uchwara kama alivyonukuliwa Rostam Aziz mwaka 2011,
6. Chama kushamiri kwa biashara ya madawa ya kulevya,
7. Kushindwa kuyafikia malengo ya millenia mfano kupunguza vifo vya mama na watoto,
8. Kuingilia uhuru wa vyombo vya habari na kuwaua waandishi,
9. Kushusha hadhi ya Tanzania katika jumuiya ya Afrika Mashariki
10. Chama chetu (CCM) kimefanikiwa katika kusimamia biashara ya kimataifa kwa kubadilishana vyandarua na dhahabu...CCM hoyeee!
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
6,997
2,000
Chadema ifikapo 2015 lazima ife kifo cha mende

Mkuu,

Sidhani kama unahitajika mwaka 2015 ili kifikia kifo cha CDM; mimi nina uhakika mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo tutaizika rasmi CDM. Kwa sasa chama kipo mahututi.
 

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,133
1,225
Mkuu,

Sidhani kama unahitajika mwaka 2015 ili kifikia kifo cha CDM; mimi nina uhakika mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo tutaizika rasmi CDM. Kwa sasa chama kipo mahututi.
Wewe umepewa cheo gani CHAMA CHA MIZIGO (CCM) ? Kadi zinapatikana electronically?
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
6,997
2,000
Na haya ni baadhi ya mafanikio ya CCM;1.Kuua viwanda na kuwafanya vijana wakose ajira kwa kiwango kikubwa. 2. Kuongeza kiwango cha wanafunzi kufeli na kuanzisha division five, 3. Kuhimiza ujangili na kupunguza idadi ya tembo kwa kumuwezesha katibu wa chama kuwa na kampuni inayosafirisha meno ya tembo nje ya nchi, 4.Kuwapiga mabomu wazee wa Afrika Mashariki wanapodai mafao yao, 5. Kuwalinda mafisadi na kuendekeza siasa uchwara kama alivyonukuliwa Rostam Aziz mwaka 2011, 6.Chama kushamiri kwa biashara ya madawa ya kulevya, 7.Kushindwa kuyafikia malengo ya millenia mfano kupunguza vifo vya mama na watoto, 8.Kuingilia uhuru wa vyombo vya habari na kuwaua waandishi, 9.Kushusha hadhi ya Tanzania katika jumuiya ya Afrika Mashariki, 10.Chama chetu (CCM) kimefanikiwa katika kusimamia biashara ya kimataifa kwa kubadilishana vyandarua na dhahabu...CCM hoyeee!

Hapa umejaza udaku wa taarifa za Tanzania Daima. Hakuna hata moja lenye kuhusishwa na serikali au CCM.
 

Chris Lukosi

Verified Member
Aug 23, 2012
4,584
2,000
Hayo ni mambo binafsi ya mtu na sio vyema kuyaleta humu jukwaani. Halafu hii juhudi yako ya kuchota picha FB ina malipo au ni bure tu uwa unajitolea?

Chadema ni sawa na mbu ndani ya net, wanakera sana...
 

The Big G

Member
Jun 3, 2011
79
95
Sio ustaarabu kuonyesha mwili wa marehemu kwenye mitandao ya kijamii. Hivi ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu wanao peruzi humu JF unadhani wanajisikiaje kuona hii picha?, ukizingatia na mazingira yaliyo pelekea kifo cha marehemu?
kumbe ukiguswa unaumia?
 

Mlayjr

JF-Expert Member
May 7, 2013
377
225
MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA, CCM IMESHIKA DOLA, SO FAR NINI CHA MAANA WALICHOFANYA??? ZAIDI YA KUUA VIWANDA, VIONGOZI WAKE KUENDELEA KUJILIMBIKIZIA MALI HUKU WATANZANIA WALIO WENGI WAKIISHI MAISHA YA UMASIKINI WA HALI YA JUU ( TANZANIA IS THE POOREST COUNTRY IN THE WORLD ), DENI LA TAIFA LIKIENDELEA KUKUA KWA KASI MPYA NA ARI MPYA, ELIMU IKIZIDI KUPOROMOKA KWA KIASI KIKUBWA, VYOMBO VYA HABARI VIKIZIDI KUKANDAMIZWA NA WATAWALA ( KUFUNGIWA KWA MWANAHALISI ), WIZI WA KURA KATIKA CHAGUZI MBALIMBALI , WAKULIMA WAKIENDELEA KUKOPWA NA SERIKALI, MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WAALIMU, MAISHA MABOVU YA WALINZI WA NCHI ( KOTA ZA POLISI OYSTERBAY, DODOMA POLISI LINE ni mifano hai ), GAP KATI YA WALIONACHO NA WASIONACHO LIKIZIDI KUONGEZEKA, ARDHI IKIPORWA KWA KASI NA WAWEKEZAJI WA KIGENI ( MFANO HALISI ARUMERU MASHARIKI, LOLIONDO ), UTOROSHWAJI WA WANYAMAPORI KWENDA NJE YA NCHI ( TWIGA WALIOP[ITISHWA KIA KUELEKEA UARABUNI na huu mtindo ulianza kuanzia enzi za utawala wa mwinyi ), BAJETI YA NCHI KUWA TEGEMEZI KWA ZAIDI YA ASILIMIA HAMSINI, MFUMUKO WA BEI KILA KUKICHA, UCHUMI KUKUA KWENYE MAANDISHI NA MAKABRASHA LAKINI WANANCHI TUKIWA NA MSOTO MKALI, MATUMIZI MAKUBWA YA SERIKALI KULIKO MAPATO, IKULU KUGEUKA KUWA PANGO LA WANYANG'ANYI ( WAFANYABIASHARA WANAINGIA IKULU KAMA RUTI ZA FAST JET : 3 TIMES A DAY BOTH WAYS ), UTENGENEZAJI WA MIRADI MINGI YA KIFISADI NA KUNUFAISHA WACHACHE ( RICHMOND ), UKWAPUAJI WA FEDH BENKI KUU ( EPA ), MIKATABA YA KIFISADI KATIKA RASILIMALI ZA NCHI ( MIKATABA KWENYE SEKTA YA MADINI, GESI ), UONGOZI WA KISASI KATI YA WATAWALA NA WATAWALIWA INAYOSABABISHA WATU KUBAMBIKIZIWA KESI ( BABU SYA, PAPII KOCHA ), SIASA KAMA VITA ( MABOMU YA ARUSHA ), VITENDO VYA KIGAIDI NA KINYAMA VIKISHIKA KASI DHIDI YA WAPIGANIA HAKI ( KUNG'OLEWA KUCHA , MENO vitendo walivyofanyiwa DR. ULIMBOKA NA KIBANDA ), SIASA IKITAWALA MPAKA KWENYE MAMBO YA MSINGI KAMA ELIMU ( DIVISION 5, KU STANDARDIZE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE ), WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WAKIISHI MAISHA MABOVU YASIYOKUWA NA MAADILI KWA KUKOSA MKOPO ( HASA WAFUNZI WA KIKE WANAVYOJIUUZA KATIKA KUMBI ZA STAREHE), WATOTO WA VIGOGO WAKIUZA DRUGS BILA YA KUKAMATWA, YATIMA WAKIAMBUKIZWA UKIMWI NA VIONGOZI WA KISIASA ( PROF. KAPUYA DRAMA ), TO MENTION FEW,,,,,,,e.t.c
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,447
2,000
mtoa mda ni zero brain
kama kashindwa kujua hesabu rahisi hata alichoandika ni zero vile vile
tupe mafanikio ya CCM na ni kwanini nchi hadi leo ni maskini na ahadi za maisha bora hazijatimia
au mnasubiri tuwatwange mawe 2015 mtakapotuibia kura zetu?
dawa ndio hiyo atakaeiba kura adhabu yake ni mawe.

2013
- 1992
-------
23 ??????
______
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom