Haya ndio mafanikio ya CHADEMA toka 1992. What a shame!?

Umenirahisishia kazi ya kutambua upeo wako ni wa kiasi gani hasa kwa ID name uliyoitumia. Nadhani wasomaji wataweza ku-connect dots kati ya ID name yako na pumba ilizoandika kwenye bandiko lako.

Ndiyo maana nikasema ubongo wako sawa na wa kuku. Kila wakati unasahau unadiscuss nini. Nenda kasaidie kuzika kada wa CCM Mwanza. Aliwakosea nini mpaka mmtelekeze!!
 
WanaJF,

Tokea CDM ianzishwe mnamo mwaka 1992, sasa yapata miaka ipatayo 21.

Lakini katika kipindi chote hiki cha uwepo wa chama hicho katika uwanja wa siasa za ushindani, bado tija ya CDM haijaonekana kabisa, zaidi zaidi ni mambo ya ajabu ajabu tu ndio ambayo yamekuwa yakifanywa na chama hicho ambayo kimsingi mambo hayo ndio huitwa MAFANIKIO YA CDM. Baadhi ya MAFANIKIO ya CDM tangu kuanzishwa kwake ni:

i) Kuchochea mgawanyiko wa kikabila na kikanda nchini. Hapa wamefanikiwa ingawa sio kwa kiasi kikubwa kutokana na kudhibitiwa na serikali ya CCM.

ii) Kushushwa kwa hadhi kwa jiji la Arusha na kupelekea kupungua kwa idadi kubwa ya watalii na kushuka kwa mapato ya jiji hilo. Hapa pameratibiwa na Lema.

iii) Kuhamasisha vijana watumie mihadarati kama vile bangi, gomba, milungi, kuberi na viroba. Hapa wamefanikiwa sana hasa kwa vijana wa Arusha na Mbeya.

iv) Kuwekeza kwenye matusi na fujo. Hapa CDM imefanikiwa mno hasa ukizingatia chama kimemkabidhi hii sekta mtu aina ya Sugu (mb) ili kuweza kuiratibu. Katika historia ya nchi yetu, ni kwa mara ya kwanza tumeshuhudia ngumi kupigwa bungeni pamoja na kutukanwa kwa viongozi wa kitaifa.

v) Kutoa kafara Watanzania kwa kisingizio cha haki ya maandamano na mikusanyiko. Wote tunajua kuwa Mbowe ni mfanyabiashara na miaka ya hivi karibuni baada ya kumwaga damu ya kutosha ya Watanzania biashara yake imeonekana kustawi. Unaweza ku-connect dots hapo.

Haya ni baadhi tu ya mafanikio ya CDM ila ni imani yangu yapo mengine mengi ambayo yamefanywa na chama hicho cha kifamilia. Hivyo kuwa huru kujazia jazia mafanikio unayo yafahamu ya hiki chama

Naona uko kibaruani mkuu as usual. Ushaingiza buku 7 kapuni tayari. Umeishia kununua mini kabaang na kunywa vijoti.
Mtaa mzima umetisha
 
Chama Cha Majanga (CCM)
Chama Cha Matukio (CCM)
Chama Cha Majambazi (CCM)
Chama Cha Majigambo (CCM)
Chama Cha Mazingaombwe (CCM)
Chama Cha Ma......................

Endeleeni bhana mi nshachoka
 
Napata wasiwasi na uwezo wa kufikiri wa mtoa mada kwani ameegemea zaidi kukipaka matope chadema kuliko kutoa mafanikio ya chadema kama kichwa ch mada husika kinavo sema!!
 
Mi nachokupongeza mtoa uzi ni kuwa ulikuwa kimya sana maana ulikua unasumbuliwa na ugonjwa wa Ndigana kali katika Hoja ila sasa bila shaka umepona na unaendelea vizuri.GET WELL SOON!!!
 
WanaJF,

Tokea CDM ianzishwe mnamo mwaka 1992, sasa yapata miaka ipatayo 21.

Lakini katika kipindi chote hiki cha uwepo wa chama hicho katika uwanja wa siasa za ushindani, bado tija ya CDM haijaonekana kabisa, zaidi zaidi ni mambo ya ajabu ajabu tu ndio ambayo yamekuwa yakifanywa na chama hicho ambayo kimsingi mambo hayo ndio huitwa MAFANIKIO YA CDM. Baadhi ya MAFANIKIO ya CDM tangu kuanzishwa kwake ni:

i) Kuchochea mgawanyiko wa kikabila na kikanda nchini. Hapa wamefanikiwa ingawa sio kwa kiasi kikubwa kutokana na kudhibitiwa na serikali ya CCM.

ii) Kushushwa kwa hadhi kwa jiji la Arusha na kupelekea kupungua kwa idadi kubwa ya watalii na kushuka kwa mapato ya jiji hilo. Hapa pameratibiwa na Lema.

iii) Kuhamasisha vijana watumie mihadarati kama vile bangi, gomba, milungi, kuberi na viroba. Hapa wamefanikiwa sana hasa kwa vijana wa Arusha na Mbeya.

iv) Kuwekeza kwenye matusi na fujo. Hapa CDM imefanikiwa mno hasa ukizingatia chama kimemkabidhi hii sekta mtu aina ya Sugu (mb) ili kuweza kuiratibu. Katika historia ya nchi yetu, ni kwa mara ya kwanza tumeshuhudia ngumi kupigwa bungeni pamoja na kutukanwa kwa viongozi wa kitaifa.

v) Kutoa kafara Watanzania kwa kisingizio cha haki ya maandamano na mikusanyiko. Wote tunajua kuwa Mbowe ni mfanyabiashara na miaka ya hivi karibuni baada ya kumwaga damu ya kutosha ya Watanzania biashara yake imeonekana kustawi. Unaweza ku-connect dots hapo.

Haya ni baadhi tu ya mafanikio ya CDM ila ni imani yangu yapo mengine mengi ambayo yamefanywa na chama hicho cha kifamilia. Hivyo kuwa huru kujazia jazia mafanikio unayo yafahamu ya hiki chama

Blaza pole sana, ila hizi sio nyakati zilee!!
 
Mkuu,

Sidhani kama unahitajika mwaka 2015 ili kifikia kifo cha CDM; mimi nina uhakika mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo tutaizika rasmi CDM. Kwa sasa chama kipo mahututi.
Usichokoze mamba hujavuka mtu.
 
Na kuibeba inatakiwa uwe na ngata ya bati.
Likosi ni expert wa kubeba mizigo, atakwambia.
chris-jestina-na-wadau-wengine-wakikusanya-misaada-mbalimbali.jpg
attachment.php

Back
Top Bottom