hahaha sina ID ingine jamani
Ni mimi hapa, Arushaone, kwa maana umeniita...... Nitume mimi baba...
Ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?babu kazidiwa na foleni Filipo na Erickb52 mko wapi mje muwajibike hapa
Hakika wewe na mimi tutakuwa wote kwenye ufalme wa ODM.Karibu sana mahipsi baby! Karibu sana! Kabla haujauliza swali lazima ukaguliwe na babu anaitwa Asprin!
Karibu sana white party!
hahaha sina ID ingine jamani
babu kazidiwa na foleni Filipo na Erickb52 mko wapi mje muwajibike hapa
Jamani babu nae anchelewesha mwenzie
Sasa naona jukumu la ukaguzi munalipiga dana dana.... Ngoja nichukue jukumu mwenyewe ThE Donn
copy to: Arushaone Mzee wa Rula kapistrano mahipsi baby
Thnx pipoôo hop ntapata frns wakutosha
Anatafuta tape measure akapime hips.
Mamboz jaman chit chat inahusika na nini hasa???naona kuna babaà mama mkwe nkiki hik?nsije post vingine nkatolewa mbio buree au na mume tapata humu humu
Sasa naona jukumu la ukaguzi munalipiga dana dana.... Ngoja nichukue jukumu mwenyewe ThE Donn
copy to: Arushaone Mzee wa Rula kapistrano mahipsi baby
Halafu wewe!!!?
Nini??
Kwani we hujui?