Haya mnidadavulie tena

Haya mnidadavulie tena

sinyoritah

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
552
Reaction score
346
Mamboz jaman chit chat inahusika na nini hasa???naona kuna babaà mama mkwe nkiki hik?nsije post vingine nkatolewa mbio buree au na mume tapata humu humu
 
Karibu sana mahipsi baby! Karibu sana! Kabla haujauliza swali lazima ukaguliwe na babu anaitwa Asprin!

Karibu sana white party!

Mamboz jaman chit chat inahusika na nini hasa???naona kuna babaà mama mkwe nkiki hik?nsije post vingine nkatolewa mbio buree au na mume tapata humu humu
 
Last edited by a moderator:
Babu kuna sehemu kafichwa kasema nisiseme! Najiuliza hivi kwa nini babu hataki kuteua kaimu mkaguzi ambaye atamsaidia akiwa hayupo!

babu kazidiwa na foleni Filipo na Erickb52 mko wapi mje muwajibike hapa
 
Unabahati sana mwenyekiti hayupo kaenda kaenda kuongeza ujuzi kule nje
 
khaaaaa huyu mahips akakaguliwe na Erickb52, msije nikosesha mume bureeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom