Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,900
Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la?

kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
 
sio madini ya chuma kweli hayo!! chukua sumaku pitisha hapo yakinasa ni chuma hiyo!!
 
Test ya chuma weka sumaku uone kama inanasa, otherwise ni vigumu kuongelea jiwe limebeba nini kwa kuangalia kwa picha

Pia inategemea we unatafuta madini gani, njia nyepesi peleka sample hizo maabara eg, GST- dom, UD- geology, SGS mwanza wakakupimie mineralization.
 
Mkuu asante sana. Nimewapigia simu wataalam wa madini pale mkuyuni, nesc mintech wanasema kupima madini ni elfu 30.

Ndio ni process nazidi kufuatilia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…