Haya matunda ya mvuti huwa yanajiotea porini, kumbe yanauzwa ghali

Daah kuna vitunda vinaitwa kunazi Kwa kiingereza vinaitwa Ziziphus mauritiana sijui kuna mtu anavijua humu.?

Nimeyamiss kishenzi,Kama kuna mtu anajua yanapouzwa anijulishe tafadhali.
 
matunda yanalewesha yale mkuu
 
Back
Top Bottom