Mimema Mingi ya matunda na isiyo ya matunda ni Faida kubwa sana ni vile basi.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Nimekuwa nafuatilia sana Mimea mingi ya asili na Matunda pia nikagundua matunda ya asili tunayo yadharau sisi na kukumbatia ya kigeni nifurusa kwa wenzetu huko nje,na ndio hizo walipropagate na kuzalisha na kuanza ku import matunda kuja Africa tena.

Miti ya asili ya matunda tunaweza propagate tukaizalisha kibiashara inawezekana kabisa. Kuna aina nyingi za matunda ya asili yenye quality kuliko haya tunayo letewa na hata hivyo haya matunda ya kigeni ni ya polini yamefanyiwa maarifa tu.

Ukiangalia matunda kama Blueberries unagundua zipo polini huku Tanzania,ila ndio kama hivyo sasa,Rasberries,matunda kama rasberries,Blackberries zote hizo zipo huku kwetu.

Huwa nafuatiliaga pia ile kampuni ya Himalaya na zile dawa zake za asili,nikagundua kwamba mimea wanayo tumia kuzalishia madawa asilimia kubwa hata Tanzania ipo,na India wao hio mimea wanaizalisha yaani wanailima kwa sasa.

Fuatilia dawa za Himalaya Wellness Company angalia ile mitishamba yao wanayo tumia,utagundua ipo hata huku kwetu ila tunaifyeka na kuichoma dawa.

Kuna wahindi hata huku Tanzania huwa wanaikusanya kwa sili na ku export kwenda India.

Kinacho kosekana ni connection na jamaa wa India. Ila inawezekana na huku Tanzania hii mimea sio hata ya kulima ni ya kujichumia tu mapolini huko.

Himalaya wanauza dawa zao Dunia nzima wale.

Kuna mimea nitapost baadae ya dawa za himalaya uone hawa jamaa wanavyo faidi nature.
 
Uko unatangazs baishara Yako ya forever living product, Ili upate network humu
 
Investment y kuitafiti mitishamba kuwa dawa sio mchezo mkuu. Unawafaham Cornwell tz?
 
Wewe ni mtafiti mzuri! Ungekuwa unaweka na namba zako. Huenda kuna mtu atahitaji kuwasiliana na wewe.
 
Back
Top Bottom