Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

Aaah unaweza ukajituma ila wanawake wengi magumegume
ila wanaume sio magumegume....tatizo wanaume bado mmeganda mwaka 47 hakunaga muda wa kubembelezana na mtu ambae hataki kuwa katika maisha yako, yaaan rocha mbayaaa mambo ya kuona aibu ooh jamii itanfikiriaje vile nimezaa na nimeshindwana na baba mtoto unakaa mtoto wa watu unakula ila bado unapauka kwa kuvumilia upuuzi waaaai
 
katika maisha yako yote ya mapenzi hujawahi kutendwa na mwanamke asokuwa na mtoto??
 
mi hua nawashangaa wadada wanaochukulia maisha easy easy, ivi unazaa na MTU ambae huna share nae wa nin? mnadhani kuna watu maboya wa kukubali kutumia second hand yenye uthibitishoooooo? Kwa nin mnakubali kuwa cheap kias hicho? Njia za uzaz hamzjui auuu?
 
Tatizo madogo mkipewa ushauri hamsikii mpaka mkatesti zari! yakiwakuta mnarudi humu mbio jf kulialia na ku confess! asiyesikia la mkuu.......tumetoa thread kibao juu ya hao wadudu kaeni nao mbali!
 
Aisee afadhali ukutane na single mother anamtoto mmoja kama anauzazi kama wangu sindo mtaongea yote?maana hao wanaozaa mmojammoja mnawananga hivi ,mimi wanaokuja wawiliwawili je?mara tatu tu nnawatoto sita,jamani msizalishe watu msiopenda kuishi nao
 
Yaani unanunua gari used alafu utegemee utadumu nayo kwa muda mrefu...!!? Hayo yatakuwa ni maajabu...gari vipuri vikishakongoroka linakuwa pasua kichwa
 
Jamani tusiwalaumu sana inategemea alipata tatizo gani. ......ilitokea msichana jirani kanitembelea kwangu hatukuwa na uhusiano kimapenzi ....ila alikuwa na mpenzi wake ...ikatokea tumesex akapata mimba ,, sasa situation kama Hiyo sioni hoja ya kuwalaumu wote
 
Sikuwa na mtazamo hasi na hawa viumbe walikwisha kutumika (single mothers).

Siku zote nilidhani huwa wanasingiziwa hivyo siku na shaka juu yao. Ila saaa nimeelewa si kwa wote ila mara nyingi ukikuta mama aliyezalishwa alafu akatelekezwa ujue hapo kuna jambo.

Wengi wao ni wanafiki sana sitaki kujiingiza kwenye mapenzi yao yaliyopita maana sikuyashuhudia ila naomba kutumia uzoefu wa hawa wawili niliowahi kuwa na uhusiano nao hivi karibuni.

Wakwanza alikuja nilitongoza mwenyewe baada ya kuwa amejiridhisha kuwa sikuwa ba mtu, alidanganya vitu kibao akimtuhumu jamaa aliyemwacha eti alikuwa katiri na mnyanyasaji ila badae nimeishi naye kwa muda nikaja kugundua alitaka anipumzikie huku akiwa ni tabia zake za ajabu licha ya kuwa ni mfanyakazi ila mvuvi na spenda na mwenye tamaaa zinazompelekea kuwa mzinzi ajabu sijawahi ona.

Baada kuwa naye alielekeza matumizi ya mwanaye kwangu sikuona vibaya ika sasa issu ikaja pale nilipotaka tuzae akagoma nikaja kugundua alitoa mimba yangu nilichukia kiasi cha kutaka kumdhuru ila namshukru Mungu kwa kunipunguza jazba nikampiga chini.

Shida za hawa wamama huwa wanatafuta mtu wa kuwasaidia kulea watoto wao na siyo kuwa wanamapenzi na wenza wao kwake haoni umuhimu wa kuzaa tena au kwa haraka huku mwanaume akihitaji mtoto wa uzao wake mara nyingi wakigoma huibua hisia za ubaba wa kambo kwa mtoto wa nje.

Tukio la pili ni kama lile la kwanza the same scenario imetokea huyu mbinafsi ajabu kwake yeye apendwe na mtoto wake hataki kusikia issue ya kuzaa kwasasa kwa uzoefu wa kwanza nimestukia mapenzifake anayojidai kunionesha.

Nimewahi kumnasa akisema haitaji mtoto sababu tayari anaye badae nikamwambia badae basi tubaki kama mtu na mchepuko akawa mkali hao mimi nina malengo na wewe na uhusiano huu sasa nimeamua sitamwabia ila sasa ndiyo hivyo automatically amejifanya mchepuko mwenyewe.

Hawa viumbe ukatae na ukubali kuachika kwao au kuzalishwa na kukimbiwa achilia mbali waliofiwa na wanaume wao wengi wao wanatabia mbaya sana na kuachika kwao au kuzalishwa ilikuwa ni alama ya tabia zao au kukomolewa kwa tabia zao chafu si wote ila wengi wao ni wakuogopa sana kama ukoma.

Nawasihi sana vijana hasa ambao hamjaoa kama mimi be careful with used women kama ni msaada wa dudu wapeni kwa maana ya kuwa burudisha ila siyo wa kuoa.

Hakika sasa nimeamini usemi wa mwanajamvi mmoja aliwahi kusema kuwa baba yake aliwahi kumuasa kuwa aogope kuoa mwanamke mwenye mtoto maishani mwake.

Lengo si kudhalilisha ila kuonyesha uzoefu wangu kwa wamama waliotumika.
MIMI UMENIGUSA KWENYE KUOGOPA KAMA UKOMA,HIVI UKOMA NI NOMA EEH?
 
Inawezekana ni huyo mmoja au wawili uliowahi kukutana nao ndio wapo hivyo. Na pia huwezi kugeneralize kuwa single mothers wote ndio wapo hivyo.
pia kuwaita wanawake used unakosea sana bro. Ni mwanaume kama wewe aliyesababisha yeye akawa single mother na hujui ni nini kilisababisha.
Endelea kutowapenda coz thats your choice lakini haimaanishi hakuna anayewapenda, wanapendwa na wanaolewa. Pia ukumbuke yeye kuwa hivyo haeleweki imetokana na situation aliyopitia mpk yeye kuwa single mother.
Duuuuh Mkuu unatisha, unafikiri hata ukiwaeleza kwa busara watakuelewa???

I have a proof ya single mothers ambao wako mbali kinyama na wanazid kumtukuza Mungu kwa maamuz waliochukua kwenye maisha yao. Huwez nishawish et mtu agande kwa mwanaume akivumilia mateso et kisa ni woga wa kuwa single mother. Mungu alituumba ili tumtukuze na kuushangilia uumbaji wake na si kuteseka hapa duniani.

I find it very awkward kwa binadamu ku stick na dhana potofu eti kuwa single mother ni ujinga na upotevu wa nidhamu. Those single mothers ambao wanajielewa nawapa big up but to those single mothers ambao bado wanasumbua waume/vijana wa watu kwa ajili ya kukidhi maisha yao wanatakiwa wajielewe.

Meeeen, do not generalize mambo cause you don't know the truth.
 
Acha tu wawaponde lakini wanakosea sana. Nimeona kila mtu anawalalamikia..ni kweli inawezekana wana problem, tena kubwa tu..PHSYCOLOGICALLY. Na cha kusikitisha ni kwamba wanaume ndio wamesababisha hii hali. Kuzalishwa na kutelekezwa si jambo rahisi hata kidogo, wengine walikuwa masomoni wameshindwa kuendelea wanaona kabisa dunia imewageuka, uwezo wa kumlea mtoto peke yake hawezi.
Mtasema kuwa kayataka mwenyewe angebana migui yake. Hilo ni suala la kipuuzi, kwanini wewe mwanaume usijitulize ukafunga zipu yako usimuingilie dada wa watu kama unajua majukumu huyawezi au huna mpango na binti wa watu.
wanaume mnatumia uanaume wenu vibaya kukandamiza mabinti ili mpate mtakacho hlf baadae unasepa. Wapo wanaume wachache wanaojitambua wanawajibika kutokana na makosa yao. Hata kama hatamuoa binti basi atahakikisha mtoto wake anapata matunzo ipasavyo.
Uzuri ni kwamba hawa single mothers baada ya kusononeka sana wananyanyuka na kupata nguvu ya kulea watoto wao wenyewe na kuendelea maisha. Big up to them na mungu anawasimamia!
Mwisho wa siku mwanaume akiona dada wa watu amemove on maisha yanasonga, katoto kazuri kana afya...eti ndio lijanaume linakuja. Hovyo kabisa!
Nyie wanaume mmepewa jukumu la kuwa kichwa cha familia lakini hamtumii vyema ukichwa mliopewa. Mwanaume yupo kwenye position sahihi ya kupunguza hawa single mothers waliojaa kila mahali, watoto wa mitaani, na hata hii biashara ya uchangudoa inashamiri kwaajili yenu.
NIMEKUBALI KUWA SINGLE MOTHERS NI SHIDA. WANAHITAJI MSAADA WA KISAIKOLOJIA ZAIDI. Kuwaponda haisaidii na badala yake mnaongeza tatizo liwe kubwa zaidi.
 
Ni kweli kabisa mkuu. Mimi mwenyewe alinishinda ingawaje nami nilimzalisha wa pili.
 
kweli kabisa na wanatakiwa wajue kama huna haja ya kumla ndege uliyemwona kwenye mti, huna sababu ya kumrushia mawe na umwache aozee kwenye miba. Wamuache atatunguliwa na mwenye haja nae.

Na siku hizi wamekaa ku komplain each and everyday kwa kuwa hawataki kuchukua nafasi waliopewa na Mungu. If you find single mother is a disaster to you y taking your time to discuss them? you better mind your own bzness and their lives will go on no matter what. For those single mothers ambao hawajielew ndo shida but for those whom they know what they are doing, am happy for them and they are happy too.

kuna ka msemo kawasaidie kidogo,

"You can break down a woman temporarily but a Real Woman will always pick up the pieces, rebuild herself & come back stronger than ever"

Mko hapo????
 
Weka mbali na watoto hii mada kichwa chake cha habari kingetakiwa kiwe hivi "Single mother pita mbali"
 
kweli kabisa na wanatakiwa wajue kama huna haja ya kumla ndege uliyemwona kwenye mti, huna sababu ya kumrushia mawe na umwache aozee kwenye miba. Wamuache atatunguliwa na mwenye haja nae.

Na siku hizi wamekaa ku komplain each and everyday kwa kuwa hawataki kuchukua nafasi waliopewa na Mungu. If you find single mother is a disaster to you y taking your time to discuss them? you better mind your own bzness and their lives will go on no matter what. For those single mothers ambao hawajielew ndo shida but for those whom they know what they are doing, am happy for them and they are happy too.

kuna ka msemo kawasaidie kidogo,

"You can break down a woman temporarily but a Real Woman will always pick up the pieces, rebuild herself & come back stronger than ever"

Mko hapo????
Upo sahihi sana. Na ifike wakati sasa tuwajadili hawa STUPID SINGLE FATHERS walio telekeza watoto wao halafu wanajidai vidume huko mtaani. Hawa ndio wa kujadiliwa na sio hao wanawake walioamua kuzaa na kulea mtoto. Na hawa wanaoponda single mothers watalaaniwa tu haki ya mungu..wataishia kupata wake waliotoa mimba kibao kwenye ujana wao. Sasa aliyetoa mimba na yule aliyeamua kuzaa sijui nani ana tatizo kumshinda mwenzake. Wengine hapa wamelelewa na mama zao tu bila baba lakini cha kushangaza wanaponda tu. Aibu kwao!
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.I am currently dating a single mother dah we acha tu.Anway soon i will run away for my life ..
 
Kwa kiasi kikubwa hawa wanawake ni kweli wapo hivyo. They are very difficult to live with, wengi wamejawa na hasira za kuvunjika kwa mahusiano yaliyopelekea kuwaacha na watoto as single mothers. Hali hii huwafanya wasithamini mapenzi, na kuishi na mwanaume wakiwa soo defensive. Advice kwa vijana, stay away from single mothers, you will pay the price ya mahusiano yaliyovunjika na kuwaacha wakiwa na hiyo status yao. Hali hii ni mbaya sana kwani, kimsingi mahusiano yao yalivunjika kutokana na tabia zao zisizokuwa nzuri, ukijumlisha na hiyo reaction, inakuwa tabia mbaya square.
Umesema vema kabisa hawa single mother sijui utafanya nini akuone wewe ni mtu muungwana muda wote wamejirinda utasikia kwenye stori zake "sasa hivi niko makini siwezi rudia makosa, muda wote hawaishi kuishi mapenzio ya maex wao.

Mpaka unaweza jiuliza hivi anawaza nini huyu, kamwe hawezi mwamini mwanaume uona kila mara anacheatiwa hali hii hupelekea wengi kuwa wazinzi wakiamini hamna mapenzi ya dhati.
 
Upo sahihi sana. Na ifike wakati sasa tuwajadili hawa STUPID SINGLE FATHERS walio telekeza watoto wao halafu wanajidai vidume huko mtaani. Hawa ndio wa kujadiliwa na sio hao wanawake walioamua kuzaa na kulea mtoto. Na hawa wanaoponda single mothers watalaaniwa tu haki ya mungu..wataishia kupata wake waliotoa mimba kibao kwenye ujana wao. Sasa aliyetoa mimba na yule aliyeamua kuzaa sijui nani ana tatizo kumshinda mwenzake. Wengine hapa wamelelewa na mama zao tu bila baba lakini cha kushangaza wanaponda tu. Aibu kwao!
Unafikiri kuna haja ya kuwajadili hawa viumbe??? let them use their energy for their own purpose. Mwanaume rijali hawez lalamika ovyo vitu vya kipuuzi badala yake ana find solution na ku keep quite.

Let us leave pie as pie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom