Haya majengo katika ramani ya uwanja mpya wa Arusha yanaashiria nini?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,511
Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.

Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.

Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya mji (angalia viwanja vilivyotumika katika AFCON kule Morocco) wanahakikisha wanamaitain uwazi katika mandhari ya eneo linalozunguka uwanja kwa kutokuwa na ujenzi wowote holela au wa hata majengo marefu.

Ukiangalia mandhari ya nje ya uwanja wa Mkapa haivutii na yanatia aibu kwa sababu kuna vibanda vingi vilivyojengwa holela.

Nawaza, waliotengeneza ramani hii wanataka kutuambia kuwa vibanda vitakavyokuja kuchipuka baadae kuzunguka eneo zima la uwanja ni sehemu ya mandhari wanayokusudia iwepo kuzunguka uwanja ili "kupendezesha" au wameamua kuwa wakweli kwamba watanzania ndiyo asili yetu hiyo na hilo halitaweza kuzuilika? Inafikirisha sana.
 
Weka picha vinginevyo ni porojo tu.
 
Picha muhimu
1770468446127.png

Pembeni ni vibanda umiza mkuu!
 
Haelewi jinsi CCM mnavyowekeza kwenye uchumi wa vibanda...

Picha muhimu View attachment 3542393
Pembeni ni vibanda umiza mkuu!

Nivibanda vya wamachinga watakaoenda kujazana baada ya afcon kuanza

CCM ni ni chama cha wapenda vibanda. Hapo hivyo vibanda washagawana vyote.

MIRADI YA WANAOJIITA WENYE NCHI YAO,,WANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI....
Wenyewe watakwambia hivyo vibanda vinaashiria mji umechangamka
 
Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.

Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.

Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya mji (angalia viwanja vilivyotumika katika AFCON kule Morocco) wanahakikisha wanamaitain uwazi katika mandhari ya eneo linalozunguka uwanja kwa kutokuwa na ujenzi wowote holela au wa hata majengo marefu.

Ukiangalia mandhari ya nje ya uwanja wa Mkapa haivutii na yanatia aibu kwa sababu kuna vibanda vingi vilivyojengwa holela.

Nawaza, waliotengeneza ramani hii wanataka kutuambia kuwa vibanda vitakavyokuja kuchipuka baadae kuzunguka eneo zima la uwanja ni sehemu ya mandhari wanayokusudia iwepo kuzunguka uwanja ili "kupendezesha" au wameamua kuwa wakweli kwamba watanzania ndiyo asili yetu hiyo na hilo halitaweza kuzuilika? Inafikirisha sana.
Kwa hiyo tuangalie maelezo yako
Wabongo baba duh
 
Tutamuomba marekani msaada amalizie kujenga hivyo viboksi
 
Hizo hela za kujenga uwanja mpya bora wangekarabati viwanja vilivyopo kma kirumba, sheikh amri abed, sokoene,, mkwamkwani kwa kuweka viti, kapeti la majani, majukwaa pamoja na vyoo. Afcon ingechezeka bila shida.. 🙏
 
Back
Top Bottom