Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,082
- 10,443
Dah...Utakuwa haujatutendea haki binadamu wengine kama utajitundika kimyakimya..toa taarifa ni lini na wapi utajitundika tukiwahi ukiwa bado moto....😎*ajira hamna
*mtoto anatakiwa kwenda shule
*Mwanamke wangu anaumwa
*sina hata hela ya kumpa akatibiwe naishia kukaa kmya tu mana sikai nae
*mdogo wake ananipgia simu ananitukana ndugu yake anaumwa na sina msaada nimemuharibia tu maisha dada yake
naishia kukaa kmya tu nikiwaza natoka vipi kwenye haya maisha kwani ni kudhalilika tu
JAMANI VYUMA VIMEKAZA KIUKWELI
How Much Are Your Body Parts Worth?