Haya maisha bora kujitundika tu

Haya maisha bora kujitundika tu

Apo sasa ndo unapata maana harisi ya nguvu ya pesa kwenye mapenzi [emoji45]
 
Wewe Mumunya Sumu tu,

Sisi hatutakuhumu tutatoa rambi-rambi.

Umenifanya mpaka niwakumbuke Mabaga fresh
"Hali ngumu,Usawa Unakaba,Wanao Tushalost,Tumepoteza dira yetu ya Maisha,Ee Maisha yanatisha,

Mateso na dhiki zilivyo nizidia mpaka natamani kuwa Mlokole"

Nb:
Maisha ni MchaMchaka Maisha ni Kupambana.

Kukata Tamaa ni Jambo baya mno.

main-qimg-5592051fd94bbdf6e0337becb2e13154-c.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwa na mind za Negativity mzee.. inaonesha umekata saana tamaa..embu timiza wajibu wako kwanza.masuala ya kufilisika ni case nyingine kabisa
Kijana maisha ni tofauti sana na matamanio yetu kila mtu anapenda kuwa na maisha mazuri ila ndiyo ile mipango siyo matumizi
Kukata tamaa ni uamzi wa mtu mwenyewe
 
Jamani hili tatizo kubwa
Inakuaje awamu hii
Hela haipo mitaani
Biashara haziendi
Taasisi za fedha hoi
Watu hawana pesa
Serikali eti nayo haina pesa
Pesa zimeenda wapi?
Mishe Mishe hazipo....
Ma TV channel yamezimwa..
Ni shiiida....maisha ni magumu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha tuu
Jamani hili tatizo kubwa
Inakuaje awamu hii
Hela haipo mitaani
Biashara haziendi
Taasisi za fedha hoi
Watu hawana pesa
Serikali eti nayo haina pesa
Pesa zimeenda wapi?
Mishe Mishe hazipo....
Ma TV channel yamezimwa..
Ni shiiida....maisha ni magumu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom