Haya maisha bora kujitundika tu

Haya maisha bora kujitundika tu

Mimi ndio maana watu baadhi hawanielewi kwanini sijaoa mpaka sasa! Wameongea weeee, nimekuwa kama Jiwe kwenye kumtumbua Bashite! Kuna mambo unapaswa kuyaweka sawa kabla hujaamua kuoa au kuzalisha binti wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo huwa hayakai sawa kwa level zinazotakiwa linapokuja suala la mke...unaweza ukawa haupo sawa kiuchumi lakini kimausiano ukawa sawa (yaani una mtu anafaa kuwa mke) na unaweza ukasubiri ukawa sawa kiuchumi alafu upande wa pili wa mahusiano ukawa upo ovyo ama yule mtu sahihi ulienae ameona umemchomesha mihogo amekwenda kwingine baada ya kukuona sio muoaji. (ni mifano tu mkuu sio hali halisi)

Kuna watu tunaishi nao mitaani yaani hawajaoa ama kuolewa lakini kimaisha hawajiwezi kabisa, kama hawajaoa hawajiwezi kabisa na dalili za kulegeza vyuma hazionekani waati huo huo mwanamke amemkubali pamoja na kwamba hana fedha kwanini asichukue jicho angalau hata usiku akilala awe amekumbatia bidada tu maana akisema ajipange alafu zisipatikane za kiasi cha kumshawishi mwanamke itakuaje
 
*ajira hamna
*mtoto anatakiwa kwenda shule
*Mwanamke wangu anaumwa
*sina hata hela ya kumpa akatibiwe naishia kukaa kmya tu mana sikai nae
*mdogo wake ananipgia simu ananitukana ndugu yake anaumwa na sina msaada nimemuharibia tu maisha dada yake

naishia kukaa kmya tu nikiwaza natoka vipi kwenye haya maisha kwani ni kudhalilika tu

JAMANI VYUMA VIMEKAZA KIUKWELI
Pole sana mkuu
 
*ajira hamna
*mtoto anatakiwa kwenda shule
*Mwanamke wangu anaumwa
*sina hata hela ya kumpa akatibiwe naishia kukaa kmya tu mana sikai nae
*mdogo wake ananipgia simu ananitukana ndugu yake anaumwa na sina msaada nimemuharibia tu maisha dada yake

naishia kukaa kmya tu nikiwaza natoka vipi kwenye haya maisha kwani ni kudhalilika tu

JAMANI VYUMA VIMEKAZA KIUKWELI
Kama vipi huyo mwanamke muweke bond ukope pesa, mambo yatanyooka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiua sio suluhu tena ni dhambi,unajua utokako hujui uendako,.usithubutu hata kujaribu kufanya hivyo,.bora uombe msaada hata wa mia mia kwa raia huwezi kosa wenye moyo wa kutoa,.
 
Back
Top Bottom