Haya maisha bora kujitundika tu

Haya maisha bora kujitundika tu

Ina maana hujui kma life linabadilika?? Mleta mada amekwambia alikuwa na kazi mwanzoni, baadae akapunguzwa. Mbn unaleta kauli za kitoto sana mkuu??? Are u a real man??? Nina mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mambo ya kuulizana real man yametoka wap tena....istoshe kauli yangu hujaielewa alaf unaanza kuniporomoshea matusi na lawama...jitafakar, mi nasemea huwez kuoa huku huna uhakika wa kula kesho...sijasemea changamoto ndani ya safar ya ndoa kwa sababu laweza kutokea lolote..ila huwez kuanzisha safar ya ndoa ukiwa huna uhakika wa kula, huo ni uzwazwa na lazima utalipa gharama ya maamuz hayo mapema iwezekanavyo....
 
Pole beste kwa Unayoyapitia niliwahi pitia maisha hadi nikaona nimebebeshwa dunia kichwani. Hadi akili iliruka ila NAMSHUKURU MUNGU BAADA YA KUNIPONYa magonjwa ya akili ukweli maisha hayo sijapitia tena. JIPE MOYO VAA PETE YA KIROHO ILIYOANDIKWA HILI NALO LITAPITA. NA MUNGU ATAKUVUSH A hadi utashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzio nimetoka kuchapwa vibao sasahivi yani uso bado wamotoooooo navyoandika hapa..

Na sina mpango wa kujitundika wala kujifanya nini..
Maisha ni kupambana mkuu wewe unaweza hadi kuleta uzi jamii forum alafu unataka ujitundike kweli?????
Umewahi kwenda hospital kuwaona wale wagonjwa ambao hawana ndugu wanavyoteseka kule na hawana mpango wa kujitundika wala nn
Wale ombaomba wasio na mikono au miguu hawana mpango wa kujitundika???
Wale wazee ombaomba nao hawajakata tamaa na maisha bado wanapambana wanaamini ipo siku..??

Kwanini uwaze kujitundika mkuu toa aibu pembeni fanya kazi yoyote iliyohalali ikimradi mkono uingie kinywani..

Kabla hujajitundika kumbuka ile siku ukiyozaliwa ulilia sana ila ndugu zako walifurahi sana kwa kuwa umezaliwa tena mwanaume..
Sasa ukijitundika inakua kinyume chake wale ndugu zako watalia sana nawewe utatabasamu..

Usijitundike mkuu acha roho itoke yenyewe kwa wakati wake..
Mshukuru Mungu wako kwa kila jambo
 
Nani huyo kakuchapa vibao
 
Back
Top Bottom