miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,276
- Thread starter
- #21
Asante mungu ataniona
Mimi yameanza kukaa vizuri baada ya kuvumilia kwa muda, hata mtoto akizaliwa sina hofu najua atakula, atavaa, na bima namkatia fresh kabisa. Tofauti na miaka miwili mitatu iliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app