Huwezi kuoa huku huna uhakika wa kula kesho....hyo ni mistake kubwa sana, na lazima ukinywee...Unasema nini wewe kijana? Kuwa uyaone unafikiri kutokuoa ndiyo mambo yatakaa vizuri maisha hayana formula hata siku moja
Labda nikuulize swali la kizushi una miaka mingapi hapa duniani?Huwezi kuoa huku huna uhakika wa kula kesho....hyo ni mistake kubwa sana, na lazima ukinywee...
Jibu hoja...mambo ya kuulizana umri yametoka wap tena....si ndo kuchawiana hukuLabda nikuulize swali la kizushi una miaka mingapi hapa duniani?
Hakuna kuchawiana wala nini nimekuuliza ili nikuambie tu maisha hayana formula wala mwalimu unaweza kusema unajipanga miaka nenda rudi mambo hayaendi moja haikai wala 2 haikaiJibu hoja...mambo ya kuulizana umri yametoka wap tena....si ndo kuchawiana huku
Siku ukipatwa na shida kweli ndio utajifunza!nimejaribu kupitia thread zako za nyuma imetosha kujieleza kwamba wewe ni muongo uliyetukuka* Ajira hamna
* Mtoto anatakiwa kwenda shule
* Mwanamke wangu anaumwa
* Sina hata hela ya kumpa akatibiwe naishia kukaa kmya tu mana sikai nae
* Mdogo wake ananipgia simu ananitukana ndugu yake anaumwa na sina msaada nimemuharibia tu maisha dada yake
Naishia kukaa kmya tu nikiwaza natoka vipi kwenye haya maisha kwani ni kudhalilika tu
JAMANI VYUMA VIMEKAZA KIUKWELI
Hakuna kuchawiana wala nini nimekuuliza ili nikuambie tu maisha hayana formula wala mwalimu unaweza kusema unajipanga miaka nenda rudi mambo hayaendi moja haikai wala 2 haikai
Yarahisishe tuMsemo wa maisha hayana formula hautoi nafas ya kutowajibika sehemu yako....tunaposema ajali haina kinga hauaondoi wajibu wetu wa kufata sheria za usalama barabarani...sio lazima uwe na maisha mazur ndo uoe, ila kuna vitu vya msingi lazima vikae sawa
Mkuu Mambo huwa yanabadilika, so kiujumla maisha hayana fomula bossMimi yameanza kukaa vizuri baada ya kuvumilia kwa muda, hata mtoto akizaliwa sina hofu najua atakula, atavaa, na bima namkatia fresh kabisa. Tofauti na miaka miwili mitatu iliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe chap chap kabla hujahairisha mkuu
Ndugu kuwa na Akiba ya Maneno, mara nyingine usiyatupe yote kama aliyepungukwa na Ufahamu. Kama unaweza kujimudu usimdharau asiyeweza kujimudu leo. Haya maisha hakuna mwenye garantii nayo.watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, ulifanya mistake kuzaa bila ya kuandaa maisha ya kiumbe kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
* Ajira hamna
* Mtoto anatakiwa kwenda shule
* Mwanamke wangu anaumwa
* Sina hata hela ya kumpa akatibiwe naishia kukaa kmya tu mana sikai nae
* Mdogo wake ananipgia simu ananitukana ndugu yake anaumwa na sina msaada nimemuharibia tu maisha dada yake
Naishia kukaa kmya tu nikiwaza natoka vipi kwenye haya maisha kwani ni kudhalilika tu
JAMANI VYUMA VIMEKAZA KIUKWELI
Acha kuwa na mind za Negativity mzee.. inaonesha umekata saana tamaa..embu timiza wajibu wako kwanza.masuala ya kufilisika ni case nyingine kabisaYarahisishe tu