Haya maisha bhana!!

Kwer we mbugira una mda gani tangu umemaliza chuo
 
Shukuruni Mungu kwa kila jambo, unayokutana nayo ni kwa mapenzi ya Mungu
 
shame... shame..
Watu mliosoma bwana,unadhani huyo anazidiwa nini na ambae amesoma sana na ameajiriwa mahali analipwa kwa kujilamba kwa boss na samahani samahani nyingi boss akinuna?

Hata wewe kama unajiona umesoma sana lakini hujajua kuwa duniani ili kuwe na uwiano lazima wawepo wasiosoma na waliosoma basi jua hata wewe bado kichwani ni kopo tu.
 
Hebu nitumie detailed cv niangalie kama naweza kuweka mahali kama ukiwa interested. Thanks
 
Chuo gani kijana.
 
Kukata tamaa ni dhambi, alafu maisha ni foleni zamu yako ipo inakuja.

Endelea kupambana...
 
Ila kama chuo cha maana utatoboa tu. Ungekuwa na hela kidogo ungeanza CPA.
 
Isje kuwa wewe hujasoma unakuja kukatisha tamaa wasomi......nyie ngumbaro tunawajua mnavyoponda vijana kisa hawajapata ajira.

Elimu Elimu Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…