huelewi kwasababu hujajifunza ili uweze kuelewa,, kwasababu huamini kua watanzania wanaumia kwa utawala wa kibabe basi we endelea kuushangilia maana ipo siku na wewe utaguswa,, Mungu ni wa wote, leo kakusikiliza wewe umepata neema kesho atamsikiliza mwingine ila, usifurahie ukiona wanadamu wenzio wanaumia maana ni ndugu zako na kama ukikataa kua sio ndugu zako basi ipo siku utahitaji kutoka kwao ndipo utajifunzaChadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?