Hawawaamini Madaktari wetu, wanataka ushirikiano na Balozi zetu!

Chadema wamempeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Ubalozi wenu wewe na nani mkuu?

Huwezi kuona kuwa madaktari wetu wanaweza kupewa maelekezo kumchoma shindano ya kifo?
 
Muulize ndugai ! Kwani alipochangisha wabunge mpaka wa ccm nayeye hakua na imani na magufuli ?au Lisu alimwambia hana hela ?au chadema walimlilia hali ? Au umeandika tu Lumumba wakuingizie siku ya leo ?manake bila uso wa haya,umesikiliza mno tumbo lako,na ukalitanguliza lumumba ! Kabla huja andika ongea na njaa yako kwanza.kwahiyo ccm waliochangia bungeni ,ni wasaliti au wanajikomba ?.ila ndo mafunzo mlopewa na bwana wenu,ccm kumuona Lema gerezani ni usaliti,ccm akifa mpinzani asimzike,kama Lowasa alivyo zuiliwa kumzika Peter. Kisumo ! ccm mnatia aibu ya muhula.alafu mnakurupuka mno,hamuwazi je,tufanyayo yatasomekaje ktk maisha siku zijazo ? Eti TB ashuhudie kuapishwa ! Badala mngeomba awaombee hekima hata kama mmeiba kura,basi mtawale kwa hekima.ccm ni janga linalokula kuwili ! Mungu ondoa hili chaka la uovu malangoni mwa nchi,Lina najisi amani,upendo na mshikamano ktk ardhi Uliyo tuumbia tuwepo,Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom