Hawawaamini Madaktari wetu, wanataka ushirikiano na Balozi zetu!

Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya bdl ya MHS yetu kwa madai hawaamini MHS hs kiusalama, lkn cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada ktk Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Hayo maneno umeyatoa wapi?wametoka hapa na dktr mpk kenya na ni mtanzania na ukumbuke usalama wa hospitalini siyo kazi ya dktr so wao wamempa amani ya moyo tundu lissu so kenya ni bora kwa amani yake ya moyo kuliko bongo maana atakua anaamini watakua bado wanataka kuja kummalizia
Ukishindwa kuelewa hata hichi kidogo utakua zwazwa wa kiwango cha phd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp sasa Balozi zetu wao hawatataka kummaliza?
 
Back
Top Bottom