Hawawaamini Madaktari wetu, wanataka ushirikiano na Balozi zetu!

Mim siwezi kukujibu mwehu wewe maana hata ukijibiwa hutaelewa.
 

Attachments

  • FB_IMG_15047746420952017.jpg
    FB_IMG_15047746420952017.jpg
    8 KB · Views: 27
Kuna Serikali na Kuna Chama.

Kuna Wananchi Wasiofungamana na vyama na kuna wafia vyama

Kila Kimoja/Mmoja atambue Wajibu na Haki zake.

Wote ni Watanzania, Wote ni Walipa Kodi.


Mwisho wa siku Padre na Muumini wote wanahukumiwa na mmoja.

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Stupid, mi naichukia sana ccm lakini napenda baadhi ya watu wa ccm lakin hata wale wa ccm nisiowapenda napenda uhai wao kw Utanzania wao nawapenda,achani unafiki wa kijinga unawalazimisha chadema wamwache tundu lissu muhimbili? Spika wa bunge umemsikia? Binafsi kachangisha pesa. Acha hayo mambo bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi ya kijinga na aliyeandika pia ni mjinga! unatutafutia ban kwa razima wewe mbuzi!
 
Kicheche huwa anakula kuku; inaelekea hii akili iliyoandika inafanana ya kicheche.
 
Haihitaji elimu hapo, iko wazi kuwa hawa jamaa zetu hawajitambui.

sikuzote mfa maji haachi kutapatapa.
Kwa jinsi nilivyomsikia mbowe alisema wanawaamini sana madaktari wetu ila hawana uhakika na usalama wa TL. That's the reason ,tusiwe tunakuza maneno bila sababu za msingi.
 
Hayo maneno umeyatoa wapi?wametoka hapa na dktr mpk kenya na ni mtanzania na ukumbuke usalama wa hospitalini siyo kazi ya dktr so wao wamempa amani ya moyo tundu lissu so kenya ni bora kwa amani yake ya moyo kuliko bongo maana atakua anaamini watakua bado wanataka kuja kummalizia
Ukishindwa kuelewa hata hichi kidogo utakua zwazwa wa kiwango cha phd

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio hao hao madaktari waliompa huduma ya kwanza pale dom. Naungana na ww kbs sababu kuu ni za kiusalama lkn sio wataalam.
 
Kikao cha masaa matatu lumumber ndio kimetoka na haya maazimio , na tulijua tu mnakoelekea, sasa mnabaki kuwalaumu watekelezaji, kumbuka tu uovu haudumu, mkimaliza kuuwa wapinzani mtaanza kuuana wenyewe.....
 
Taarifa ya bunge ni kwamba familia ndio iliomba akatibiwe Nairobi na excuse na concern yako ni usalama wake na sio shaka ya uwezo wa madaktari wetu,by the way ndio wamempa Huduma ya kwanza so balozi kutokutoa ushirikiano ni uzandi wake na pengine alipata maelekezo kutoka juu maana sioni sababu ya yeye kutokutoa ushirikiano
 
Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Nadhani ingekuwa busara kama wangekataa kuhudumiwa na wale madaktari bingwa pale dodoma kwa kumpeleka nairobi moja kwa moja baada ya tukio
 
Back
Top Bottom