Hawawaamini Madaktari wetu, wanataka ushirikiano na Balozi zetu!

Sikuzote wapuuzi niwakupuuzwa tu
Ningelikuwa mbunge nisingeli kubari hata senti yangu ikatwe kisa Lisu!!
Upuuzi mtupu
UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU....IPO SIKU MUNGU ATATUHURUMIA KWA MUUA GORIATI(MOTOCHINI(
 
Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Angalieni msije gawa taifa tu kwa maswali kama hayo.
 
Wauaji mara nyingi wanakuwa na plan A, B naC, ni rahisi kufanikisha plan zote ndani ya nchi kuliko nje ya nchi.
 
Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Hawajalalamika ila wamesema ubalozi hawajatoa ushirikiano,kuna tofauti kati ya kusema na kulalamika
 
CCM inahusika vp kwenye andiko langu? Au unawashwa jioni jioni?

SIKUZOTE UNAJIPAMBANUA KAMA CCM NA UNATETEA CCM NA SERIKALI,Niweke wazi tu mimi ni mtumishi wa MUNGU na sina chama chochote lakini kwa namna ulivyo elezea inaonesha kabisa ni roho za ibilisi na shetani zinatenda kazi ndani mwako,..DADA shetani hajawahi kumshinda MUNGU ndiyo maana ndugu zako wameshindwa kufanya walicho kusudia
 
Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Naamini CDM hofu yao haikuwa madaktari wa Bongo,ila kitendo cha kumlalamikia balozi kuwa hakutoa ushirikiano nadhani hawakupaswa kukiongelea .Wala hawakupaswa kujishughulisha Na balozi.
Ila sidhani kama kwa huku bongo waliwakimbia madaktari hapana sio madaktari kuna kitu walikihofia ndio maana nasema ilikuwa ni ujinga kuanza kutafuta tena ushirikiano wa balozi nje.Ingekuwa Bora wangemute kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?

Ccm ina upungufu wa vijana wenye kuelewa mambo . Hawajui hata propaganda ni kama watu waloamka kutoka usingizini wa miak 50.
Ndio maana wana sapoti ujinga na vomment zao za kijinga.
Mtu ana anzisha mada ya kijinga kijinga kabisa.
Kama hujui kitu ficha upumbavu wako.

Chadema wamewshukuru sana madaktari wa Dodomana pia wameweka wazi hawana tatizo na Uwezo wa Muhimbili.
Wali weka wazi kuhusu kutotaka kumtibu nchini ni hali ya usalama kuwa mdogo.
Wauaji bado wapo free , gari haijakamatwa , na wao wenyewe wapo free pengine wame fichwa mahali .
Ni rahisi kumfikia na kummaliza pale kwa njia nyingi
Hivyo wameamua kumpeleka Kenya na ulinzi umeimarishwa pale .

Suala la ubalozi ni la kidiplomasia. Spika alitakiwa amueleze balozi wetu kuwa mbunge wetu anakuja huko toa msaada unao stahili...ni taratibu za kikazi za kawaida kwa ofisi ya ubalozi.
Hata hapa hili suala lime mgusa kila mtu , wakiwemo wa bunge wengi wa ccm , hata spika jamno hili limemkera , mawaziri pia limewa kera .
Ni wakora wachache kama wewe ambao halikuwagusa hili jambo na kuleta vhuki kwenye jambo ja hatari ambalo linaweza kusababisha nchi kuharibika.
Nenda tena ukasomeshwe vha kuposti huko lumumba
 
Nina roho mbaya klk hata Shetani!
VYOVOTE ULIVYO LAKINI KUMBUKA WEWE NI MWANADAMU NA KWA VYOVYOTE MAVUMBINI UTARUDI,Hata kama una amani leo kesho inaweza kutoweka ,hata kama una afya leo kesho unaweza kupata kansa na ukaondoka.Na MUOMBA MUNGU AWEPE ROHO YA UTU NDANI MWENU NA HATA MPATE KUTAMBUA KUWA DHAMBI YA KUMWAGA DAMU NI LAANA KUBWA KWA VIZAZI VYENU HATA KAMA MNAKILA KITU MAISHANI LAKINI MTATESEKA.
 
Hicho ni kikundi cha magaid, yaani wanafanya mchezo wao, wanaandaa watu wa kupiga picha, wanaandaa sehemu ya matibabu.
Acheni upumbavu nyie watu walichokisema ndoicho mlichokiandika au mnataka kupotosha umaa wangekuwa hawaamini madaktari wapa tokea siku ya tukio wasingekubali apewe huduma ya kwanza na madaktari wahapa wamefanya ivyo ilikumuacha apumzike na kupunguza idadi ya watu watakaotaka kumuona maana hata hao watu watakao kuja kumuona wengine sio watu wema mtatapatapa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala lipo wazi kuwa kiusalama isingekua sahihi atibiwe humuhumu ndani sasa y unakichwa ngumu kwani ubalozi kupokea mtu mpaka akubali kutibiwa muhimbili,....kwani kuna Chadema aliesema hawaiamni serikali au wamesema kiusalama haistahili atibiwe humuhumu ndani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini maana ya kiusalama it means hamna ulinzi muhimbili si ndio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina roho mbaya klk hata Shetani!

Natambua kuwa wwe na ndugu zako wote ni mashetani ndiyo maana kutoa roho na kumwaga damu ya mtu kwenu ni kawaida,lakini tambua kuwa shetani aliumbwa na MUNGU na Ipo siku shetani huyu atatafuna familia na ukoo wako hata kama mna pesa nyingi,utashangaa watoto hawafaulu mashuleni,vifo juu vifo na magonjwa juu ya magonjwa,mabinti kwenu hawaolewi kwenye familia na ukoo wako.Ni heri leo ungemtafuta MUNGU wa kweli atakaye kuponya hizo hela unazolipwa ni za kitambo lakini laana na adhabu ya moto ni ya milele
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom