Hawataki tuachane hata baada ya mimi kuoa

sidhani kama ukisimama kidete na kusema hutaki upuuzi nao tena kama wataendelea kukusumbua,unawaendekeza na wewe ebo!!
 
Jamani Sihongi. Sometimes mi ndio nahongwa. Kuna mmoja anapiga mabiashara yake ya China, Hong kong na kwingineko. Akija hapa DSM tu ananitafuta. ananiagizia gari ya kuja kunichukua. Kabla sijawa muaminifu Nilikuwa nampa. Doozi nilikuwa nawapa. huyo yeye alishawahi kuniambia Hajawahikwenda hewani mata Tatu kwa kwa moja ila mi ndio nimempa. Na akasema Haniachi hata iweje. mi nikajua ni mauongo tu ya pale kunako 6*6. sasa ni kweli anasumbua. sijui nawaachaje. wako kama nane. watatu sio wasumbufu wananitafuta kwa kubip. nishaurini vizuri jamani nahitajikuokoa ndoa yangu wana JF

Una pepo, wajinga wanakushindaje kama siyo wewe kuwapa ruksa ya kukupanda kichwani? Badili tabia, hata tukikushauri bado akili yako iko kwao.
 
Bado unafanya recruitment ya wanawake wapya? Manake naona unajipiga promo tu hapa. Ukihitaji small house nistue basi!
 
Haya wadada wa JF jamaa inajipigia Ma Advert hapa

Back
Top Bottom