Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
770
2,408
Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
 
Transportation Manager anahusika na general fleet management.

-Kupanga routes.
-Anasimamia madereva
-Anasimamia tracking pia.
-Kujua magari yapo katika hali gani
-Kuhakikisha gari zinaenda services kwa wakati
-etcetera

Tracking officer yupo chini ya Transportation manager ila kibongo-bongo tuna Transport officers kwenye makampuni mengi

Kazi za msingi za Tracking officers

- Monitoring / (GPS) tracking magari yote ya kampuni mfano gari lipo wapi kwa wakati huo, dereva anatembea kwa mwendo gani, je dereva hasimami ovyo barabarani etc
 
Haya ni ndiyo mambo ya field yangu sasa

kwanza kuna Trucking na Tracking. Sina uhakika na ulichokiandika kama ndio ulicho maanisha

Thibitisha kwanza kama ulimaanisha Tracking na sio trucking kama ulivyo andika
 
Asante sana mkuu kwa mwongozo.
 
Haya ni ndiyo mambo ya field yangu sasa

kwanza kuna Trucking na Tracking. Sina uhakika na ulichokiandika kama ndio ulicho maanisha

Thibitisha kwanza kama ulimaanisha Tracking na sio trucking kama ulivyo andika
Asante sana mkuu...

Iko hivi, nilimaanisha TRACKING OFFICER ...Kwasababu sio mambo ya field yangu inawezekana nikawa sipo sahihi kwa jinsi nilivyoandika.

Hivyo ningependa nipate ufafanuzi wako. Kama ukizielezea zote (Trucking na Tracking) nitashukuru zaidi.

Karibu.
 
Tracking ni kufuatilia. Hii inajumuisha vyaa vya telematics na fleet management Vinavyofungwa kwenye magari na kuwa monitored ofisini au mahali popote kwa ajili ya kifuatilia mwenendo wa gari kama Speed, mafuta, Tabia ya dereva, Location nk.

unavyo ingelea Trucking, maana yake ni uchukuzi wa mizigo kwa kutumia malori (Trucks)
So trucking officer ni mtu anae manage hizo shughuli za malori kuyawezesha yafanye kazi yake. Some time ndio haohao ma transport officer or manager, inategemea na mazingira na Muundo wa taasisi au shirika
 
Asante sana mkuu...na lengo langu hasa lilikuwa kwenye makampuni ya usafirishaji...nadhani hiyo trucking ndiyo kitu ambacho nilipanga kukimaanisha ...asante sana....Uwe na wakati mwema.
 
Poa poa boss, karibu
 
Tracking ni kufuatilia. Hii inajumuisha vyaa vya telematics na fleet management Vinavyofungwa kwenye magari na kuwa monitored ofisini au mahali popote kwa ajili ya kifuatilia mwenendo wa gari kama Speed, mafuta, Tabia ya dereva, Location nk.

unavyo ingelea Trucking, maana yake ni uchukuzi wa mizigo kwa kutumia malori (Trucks)
So trucking officer ni mtu anae manage hizo shughuli za malori kuyawezesha yafanye kazi yake. Some time ndio haohao ma transport officer or manager, inategemea na mazingira na Muundo wa taasisi au shirika
Unajifanya field yako alafu boya tu
Tracking officer ipo sawa kabisa, Hawa ndio wanaodeal na kufatilia routes hasahasa kwa kutumia tracking system(gps) ya kampuni, na sehemu nyingi hiyo position huwa wanaitwa"tracker"
Hiyo trucking officer ni yako
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako...ila hakukuwa na ulazima wa kumkashifu mwamba hapo juu....Na mbaya zaidi ni mtu ambae hajatumia lugha mbaya dhidi yangu au dhidi ya yeyote...

How do you feel kumu attack hivyo...Unajisikiaje unapotumia lugha kali kwa mtu ambae hajakuvunjia heshima?

Umekoseq bro.
 
Back
Top Bottom