Mshahara wa Afisa Mikopo unaweza kuwa kiasi gani?

Dubwika

Member
Sep 13, 2022
10
24
Wakuu, habarini za muda huu! Kwanza niwape pole na majukumu yenu kabla sijaeleza kilichonidubwisha kuandika uzi huu.

Hakuna maisha magumu kama kukaa jobless au kuwa na kazi za kubangaiza mtaani. Sasa leo kuna rafiki yangu wa muda kidogo kanipigia simu kunahitajika Afisa Mikopo(Loan Officer) katika kampuni ambayo sitaitaja.

Nachotaka kufahamu tu ni kiasi gani afisa mikopo huwa analipwa kwa mwezi kwa mwenye uelewa mzuri ili niweze kufanya nao makubaliano. Naomba ufafanuzi kidogo pia kuhusu particulars zingine kuhusu hili.

Nawasilisha
 
Kiwango kina tofautiana na mahali ,pia kama kampuni inaangalia na mapato yake katika kuwalipa watu.

Mbona loan officer wa bank na heslb wana tofautiana mishahara bado ndani ya bank tofauti kuna mishahara tofauti kwa watumishi wake .... Hata wa vyuoni wnaalipwa pesa tofauti na sehemu nyingine.

Better ukataja hiyo kampuni kamaa njaa anaweza kupata hata 700k.
 
Afsa mkopo hana mshahara wa moja kwa moja kweny Hizi kapuni za kukopesha ila hulipwa kwa Asilimia ya mikopo ya wateja uliyoleta kukopa kwa mwezi husika pia kwa mteja mpya au anae top up mkopo
 
Afsa mkopo hana mshahara wa moja kwa moja kweny Hizi kapuni za kukopesha ila hulipwa kwa Asilimia ya mikopo ya wateja uliyoleta kukopa kwa mwezi husika pia kwa mteja mpya au anae top up mkopo
Hio % inakuwa vp kaka
 
Hiyo andaa kiatu chenye soli kibwa a.k.a lakuchumpa...hiyo kampuni siyo ile inaitwa ..Oya.. hiyo?
 
Back
Top Bottom