Usaili wa Watu Credit Limited leo tarehe 31/01/2024

MR KARMA

Member
Jan 26, 2024
7
3
Wakuu habari poleni na majukumu yenu ya kazi siku ya leo naenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujua walifanikiwa kuwa shortlisted leo kufanya usaili uliokuwa unafanyika saa nane mchana wa nafasi ya Collection officer ilikuwaje na ni maswali gani yaliulizwa.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom