Je, ukiwa unatumia dozi ya PEP unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mwenye maambukizi?

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.

Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.

Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
 
Huwezi kupata hadi zitakopita wiki mbili baada ya kumaliza dozi coz dawa ya pep inakaa muda mrefu kwenye damu
Hivyo hata baadaa ya kumaliza dozi inakuwa sumu ya dawa ipo kwenye damu
 
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.

Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.

Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Hapana Huwezi kupata Mkuu..

Hapo Umeibadilisha PEP kuwa PrEP tu..
So imekulinda Kwa Exposure mbili Pre na post..

So Ngoma Draw..
Huwezi kupata kuwa na Amani kabisa
 
Nashukur mkuu,hapa nilikuwa nawaza nirudi hospt pengine ntaongezewa dozi na vile znanipelekesha njaa muda wote,ndoto za ajabu ajabu kuota napaa hadi nimeshalizoea anga,uchovu kam nina homa ni balaa tupu..
Na ukimaliza dozi hata ukienda hospital eti umepata contact tena hakupi coz hizo dawa zina side effect hawazitoi kama njugu sokoni

Note: Ukimaliza dozi hata ukapata contact tena na mtu mwenye ukimwi within a month hairuhusiwi kupewa dawa tena hadi ipite miezi mitatu
Unaambiwa hizo dawa zinamadhara kuliko hata huo ukimwi wenyewe endapo utakumbana na madhara yake
 
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.

Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.

Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
HARAKATI ZA MTU MWEUSI.
 
Kweli kabisa..

Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..

Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)

Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
 
Dawa za Pep zimekuwa zikiboreshwa na kufanyiwa marekebisho kwa muda ili kuboresha ufanisi wao na kupunguza athari mbaya. Katika miaka ya nyuma, baadhi ya dawa zilizotumika katika PEP zilikuwa na athari kali za upande kama vile kichefuchefu, kutapika, n.k
 
Kweli kabisa..

Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..

Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)

Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
TLE AFU UNYWE MCHANA UTAONA VITU UPSIDE DOWN, ANTCLOCKWISE AND VICE VERSA.
 
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.

Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.

Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
F095B0EF-0803-47CB-B5B4-A615D054D5A8.png
 
Back
Top Bottom