robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,142
- 3,334
tuvuke mipaka maana list ni wale mashuhuri uwanja wa kisiasa:Katika list umewasahau
Faiza fox
Halima mdee
Maria sarungi
Fatuma karume
Huyu asha-rose..nakumbuka aliwahi kubadili dini ili aoleweMume wa Tulia Ackson anaitwa James Andilile Mwainyekule nafikiri bado anafanya kazi wizara ya nishati kama kamishna. Pia aliwahi kuwa ag. DG TPDC tuliwahi kufanya kazi wote mahala.
Asha-Rose Mtengeti mume wake anaitwa Cleophas Migiro alikuwa mwalimu pale mlimani kwa mingi sana. Sina hakika kama bado yupo pale.
Vicky ni mzuri sana..ila kaangukia hapo kwa machungu ya kuachwa siku chache kabla ya ndoa na mchumba wake!Haya mambo ya mapenzi haya. Wengine wanasema huyu wa nini? Kumbe jirani hasikii wala haoni. Hongera zao
Heshima na raha ya gari uanze nalo mwenyewe.Vicky ni mzuri sana..ila kaangukia hapo kwa machungu ya kuachwa siku chache kabla ya ndoa na mchumba wake!
Lakini aliwashwa na mama mkwere..kumkomoa kwa kudandia..mumewe...
Theresa May ana mume japo hawana watototuvuke mipaka maana list ni wale mashuhuri uwanja wa kisiasa:
- waziri mkuu mstaafu wa Uingereza
-rais wa zamani wa Liberia
-chancellor wa Ujeruman
Una utani na Kagasheki weweHuyu chombo Catherine Magige nipeni mawasiliano
Kikristo haliwezekani hilondalichako wanasema ndoa ilivunjika
Kwa lugha nyepesi. Yuko freebasi walitengana
Kuwashwaje mkuu?Vicky ni mzuri sana..ila kaangukia hapo kwa machungu ya kuachwa siku chache kabla ya ndoa na mchumba wake!
Lakini aliwashwa na mama mkwere..kumkomoa kwa kudandia..mumewe...
Hahahahah we ni noomaMi nilibebwa na upepo wa kisulisuli lakini nikapitiliza pale kanisani sasa nimepotea kabisa nipo huku karibu na yombo tambuka reli...msaada wakuu
Hakuna jambo gumu kama kufwatilia nyendo za jinsia ya kike//kavaa chupi rangi gani/anaongea na nani/kafanyajeeee/ lini tarehe za uchavushaji/ leo kalala na nani/kaachana na nani...etc......khaaaaa../SIKU utakayokaa ufahamu mawazo/mitizamo ya pande kinzania(me/ke) naona utakuwa huruuuuUnaweza dhani mwenzio ana tatizo kumbe wewe ndo mwenye tatizo. Yeye kauliza, kama huna jibu si ukae kimya!
THE CAT usually smells and knows the enemy before the enemy makes a move... kufwatilia nyendo za jinsia ya kike//kavaa chupi rangi gani/anaongea na nani/kafanyajeeee/ lini tarehe za uchavushaji/ leo kalala na nani/kaachana na nani...etc......khaaaaa../SIKU utakayokaa ufahamu mawazo/mitizamo ya pande kinzania(me/ke) naona utakuwa huruuuuCuriosity didn't kill the cat,ignorance did.
Hili unaliona gumu. Hamia mtaani kwetu Buguruni kwa Mnyamani. Ndani ya wiki tutajua mpaka idadi ya vijiko vya sukari unavyotumia kwenye chai.Hakuna jambo gumu kama kufwatilia nyendo za jinsia ya kike//kavaa chupi rangi gani/anaongea na nani/kafanyajeeee/ lini tarehe za uchavushaji/ leo kalala na nani/kaachana na nani...etc......khaaaaa../SIKU utakayokaa ufahamu mawazo/mitizamo ya pande kinzania(me/ke) naona utakuwa huruuuu
Huyu Gertrude Rwakatale ndiyo yule mchungaji wa mikocheni B? Kwa mujibu wa bishop Kakobe huyu mama ni kahaba ila sijui nani kampa uchungaji
Sasa kama Ndalichako
Labda aolewe kutokana na hela zake lakini sio kwa ile sura...
ana mapaja na wowowo flani ivi jeupe yaani ukimgeuza na kumkunja yule aisee hadi ataacha kuongea kithembe