Uwazitu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 1,419
- 1,396
Pascal unafikiri hawa wametenda kosa la jinai katika sheria zetu au tu wametenda kosa kwa kufanya mambo kinyume na agizo la rais?
Akijibu njoo haraka.
Pascal unafikiri hawa wametenda kosa la jinai katika sheria zetu au tu wametenda kosa kwa kufanya mambo kinyume na agizo la rais?
Kiukweli tunatakiwa kuwe na mawakili hadi vijijini, kule bangi inajitea tuu, hivyo wananchi wale kwa vile ni wa pale royal village, wasamehewe tuu, kama ambavyo Mwanza hawakubomolewa kwenye bomoa bomoa. Huyu Mkuu wa Wilaya vipi?, hatufai.Pascal unafikiri hawa wametenda kosa la jinai katika sheria zetu au tu wametenda kosa kwa kufanya mambo kinyume na agizo la rais?
Kiukweli tunatakiwa kuwe na mawakili hadi vijijini, kule bangi inajitea tuu, hivyo wananchi wale kwa vile ni wa pale royal village, wasamehewe tuu, kama ambavyo Mwanza hawakubomolewa kwenye bomoa bomoa. Huyu Mkuu wa Wilaya vipi?, hatufai.
P
Kwa maeneo yale bangi ni chakula.case closed.Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.
My take; hawa waliolima bangi wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutenda kinyume na agizo la Rais
Kwa maeneo yale bangi ni chakula.case closed.
P
Afrika kusini wamealalisha,Lesotho na Zambia..na sisi inabidi tuliangalie hili pia Kwa jicho la pili..hata miraa ndugu zetu wa Kenya wamealalisha na wanafanya biashara kubwa tu na wasomali..Tunapoelekea bangi itahalalishwa kulimwa kama raw material ila kuitumia kama tumbaku inaweza kuendelea kupigwa ban kitu kitakachopelekea police kuzidi kula rushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tete tete..mkuu wetu anafanya kazi Kwa kuzingatia sheria,taratibu na kanuni(STK)...bila kujali ni mtanzania wa sehemu gani...utoke buzirayombo Chato au ilemela au chakechake Pemba ...utatendewa Sawa...Kiukweli tunatakiwa kuwe na mawakili hadi vijijini, kule bangi inajitea tuu, hivyo wananchi wale kwa vile ni wa pale royal village, wasamehewe tuu, kama ambavyo Mwanza hawakubomolewa kwenye bomoa bomoa. Huyu Mkuu wa Wilaya vipi?, hatufai.
P
Pascaliii....😀😀😀😀😀😀...kila siku kesi zimekuwa ni kukiuka maagizo ya mweshimiwa JPM na siyo kukiuka sheria za nchi...naona siku hizi mweshimiwa amekuwa sheria sasa...mbona tutakoma...Duh...!, mimi nashauri huyu DC aondolewe!, hao wananchi wanaonewa bure tuu, maeneo mengi Usukumani bangi inajiotea tuu yenyewe, na maadam Wasukuma wenyewe bangi haiwadhuru, na bangi ina active ingredients 4 muhimu kwa matumizi ya medical marijuana ambazo ni raw material ya kutengenezea CBC, viburudisho, na virembesho.
Ingredients hizo ni Tetrahydrocannabinol, cannabidiol, cannabinoids na
Tetrahydrocannabivarin hivyo kwa vile Tanzania bado hatuna viwanda vya products hizo, then badala ya kuing'oa, tupitishe ku legalize kilimo cha zao la bangi for export na kufanya usimamizi mzuri ili bangi hiyo isivutwe.
Mimi hili nilishauri siku nyingi nyuma ikiwa ni pamoja na kuhalalisha ile biashara yetu ile ya
https://www.jamiiforums.com/threads...nia-tuhalalishe-the-oldest-profession.437136/
P
Duh...!, mimi nashauri huyu DC aondolewe!, hao wananchi wanaonewa bure tuu, maeneo mengi Usukumani bangi inajiotea tuu yenyewe, na maadam Wasukuma wenyewe bangi haiwadhuru, na bangi ina active ingredients 4 muhimu kwa matumizi ya medical marijuana ambazo ni raw material ya kutengenezea CBC, viburudisho, na virembesho.
Ingredients hizo ni Tetrahydrocannabinol, cannabidiol, cannabinoids na
Tetrahydrocannabivarin hivyo kwa vile Tanzania bado hatuna viwanda vya products hizo, then badala ya kuing'oa, tupitishe ku legalize kilimo cha zao la bangi for export na kufanya usimamizi mzuri ili bangi hiyo isivutwe.
Mimi hili nilishauri siku nyingi nyuma ikiwa ni pamoja na kuhalalisha ile biashara yetu ile ya
https://www.jamiiforums.com/threads...nia-tuhalalishe-the-oldest-profession.437136/
P
basi Pascal aambiwe nako Kilimanjaro walikokamata shamba la Bhange pale njia panda yule mzungu aachiwe akang'oe shambani kwake.mzee baba kama hujui anapilizaga.....
ukabila ni ugonjwa mbaya sana!Akijibu njoo haraka.
Asante Mkuu kwa hili, japo mimi ni wale wa kule kule tuliozaliwa mjini, nikiwa Tambaza, jamaa zangu walikuwa wana piga hiyo kitu kule juu summit na wote wakapasua na misonge, hivyo nilipokwenda A level Ilboru, nikakutana na Cha Arusha!, usipime!.Picha hiyo ilishafika hata Bungeni kupitia kwa Mbunge Msukuma lakini kama kawaida ikadharauliwa kirahisi rahisi tu kwa vile jamaa yetu ni darasa la saba leo hii tunalishwa matango pori kuwa kuna wapiga kura huko Chato wamekiuka agizo la Rais? iweje watu wasahau kuwa Msukuma na Medard Kalemani wote wanatoka Geita na wanawakilisha wapiga kura sasa hapo kweli tunashindwa vipi kujua kuwa Msukuma na wenzie wana hoja yenye maslahi na wapiga kura wao?
Pascal usiseme kuwa kwa maeneo yale bange ni chakula badala yake sema kwetu bila hiyo Bange hatuwezi kazi yoyote kwani mmea ndio fuel ya kila kitu hata mkuu analijua hilo na sio siri ila basi tu afanye nini, binafsi mimi nilikuja kutambua kuwa bange ni haramu na jinai pale nilipoona wanafunzi wenzangu wakichapwa viboko kwa kukutwa wanavuta bangi tukiwa boarding school