Hawa wananchi wa Chato waliolima bangi kwenye ardhi waliyopewa na Rais wachukuliwe hatua stahiki

basi Pascal aambiwe nako Kilimanjaro walikokamata shamba la Bhange pale njia panda yule mzungu aachiwe akang'oe shambani kwake.
Kitu ya Arusha na Moshi ni tiba tosha kuliko ya Chato
Nchi ni moja wapiga kura mwaka huu ni walewale

Kweli sababu mangifuli ile ni chakula yake nasemaje anakula ganja mzee wa kaya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Agizo LA awali ni LA serikali ni kuchoma tu?Ninakumbuka kuwa wakamatwe wahusika na viongozi wao.
Kudhibiti kilimo hiki cha dawa za kulevya,tusiwe na double standard katika kuchukualiana hatua za kisheria.

Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.

Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na kuichoma moto mbele ya waandishi wa habari

Source ITV habari

My take; hawa waliolima bangi wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutenda kinyume na agizo la Rais
 
Tena inajiotea tuu yenyewe, mimi uani kwangu, imejiotea tuu yenyewe wala sijaipanda.
P

Cannabis in Tanzania

From Wikipedia, the free encyclopedia
Cultivation
Cannabis in Tanzania is cultivated in coastal zone of Tanga, northern zone of Arusha, Manyara and Kilimanjaro, southern highland of Iringa and Lake Zone of Shinyanga

Usage
Cannabis is used for medicine in rural areas, used to cure ailment like ear-ache, fever and malaria. Cannabis leaves are used to make and prepare food in rural areas[3].
Enforcement
The government destroyed some of plantation and punish people who were cultivating. In Tanzania selling, possessing and cultivating cannabis is an offense[4] People cultivate cannabis illegally, they claim that they get profit compared to when they sell other crops.

Hapo kwenye red ndio ilikuwa agenda kuu ya Mbunge msukuma akizingatia kuwa kila kitu kina risk na benefits zake hivyo tunatakiwa tuweke kwenye muzani tuangalie na kutafakari je hatuwezi kuwa kama Canada au Netherland ambako Bangi ni kama sigara nyota tu anayovuta bibi yangu?
 
Bangi na mirungi vinatakiwa kuhalalishwa tuu, maana polisi imekuwa mtaji wao. Nadhani katika watu wanakwamisha visiruhusiwe ni polisi.

Polisi wanamtandao mkubwa sana kwenye bangi na mirungi.

Na ata hapo walivyokamata iloo shamba ni ramani imeuzwa watasema raia wema ila ni wakulima wa ilo zao wenyewe kwa wenyewe.

Asilimia 80% ya wasafirishaji na wauzaji wa madawa ya kulevya/drugs/mirungi/bangi/ wanakamatwa kutokana na wao kwa wao kuuzana. Kwa polisi polisi anakamata mzigo unatoa hongo mzigo.anauchukua unaenda kuuzwa kwa aliempa taarifa. JESHI LA POLISI LINATAKIWA KUJITAFAKARI
 
Kuna sehemu inaitwa mgeta ipo morogoro ni moja ya sehemu bangi inalimwa sana.
Kuna ushirikiano mkubwa wa polisi na walima bangi ambao wote wanafaidika.

Tatizo la huko ambalo wanalo walimaji ni wizi wa wao kwa wao wa kuuibiana hizo bangi na kuchomana.
 
Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.

Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na kuichoma moto mbele ya waandishi wa habari

Mnajuaje kwamba waliambiwa walime bangi pia ili wawape vigogo? Mie naona mambo vigogo wengi wanayosema na kufanya ni kama wanavuta bangi kutoka Chato!
 
Back
Top Bottom