Hawa wako wapi?

Ongezea na "Madela wa Madilu"...Ni kitambo sijamsoma hapa jamvini.
 
mimi naongezea Mama,Kuhani mkuu,Uwiano maalumu na Yournameismine hawa nao wako wapi?
 
Mimi nawamiss sana Kuhani na Mama michango yao ilikuwa ni hali ya juu sana na mara nyingi nilikuwa nakubaliana nao ingawaje hapa na pale tulihitilafiana katika majadiliano ya hapa ukumbini. Mtu mwingine anayekosekana ni MWK huyu lakini aliandika kwamba Mama yake alimuomba aache kuchangia mijadala hapa ukumbini nilimuomba abadilishe style ya uchangiaji ili Mama asimgundue lakini akasema itakuwa vigumu mno kubadilisha style ya uandishi wake.
 
Bluray, Icadon, Gembe, Mgonjwa wa ukimwi, Malaria sugu

Huyu Mgonjwa wa ukimwi nilikuwa nawaza mara nyingi je huyu ni muathirika kweli au ni utundu wake tu? Amepotea siku nyingi sana kwa hiyo kama kweli alikuwa ni muathirika basi labda amesharudi kwa muumba wake.
 
yani kila siku ziendavyo nazidi kuona nguvu ya JF... ni zaidi ya forum, maana tunakumbukana kwa kila jambo

ibambasi yuko wapi? Julius [Ngabu] naye vipi?
 
Wengi wa hawa watu ukicheki profile zao unaona bado kuna activity, kwa mfano Mhafidhina last activity Dec 2009, Sanda Matuta is quite active, ndio maana hata ameupdate avatar yake kaweka picha ya Kawawa (Jan 2010), Son of Alaska was active today, Khoryere's status says he is "poor by choice" so maybe his poverty limits his access to the net (Feb 2009), Lagatage Nov 2009 labda bado yuko likizo hana computer
 
Asante Injinia.
 
Uwiano Maalum sijamuona kitambo, yupo wapi huyu mwanaJF? Pia Kelly01 naye amepotea kweli!..
 
Bra Makyao nimekumis sana
Kuna huyu mtu anaitwa Josm pia siku hizi haonekani alikuwa mshikaji wangu sana
Nimekumis nawe pia bra Makyao
 
Pia Kelly01 naye amepotea kweli!..
huyu ndie Binti Maringo siku hizi mabo ya kubadilisha ID tu haya na inawezekana hata hawa wengine wamebadili majina tu lakini tuko nao kila siku. Ila mimi nitaendelea kubaki Sipo daima
 
huyu ndie Binti Maringo siku hizi mabo ya kubadilisha ID tu haya na inawezekana hata hawa wengine wamebadili majina tu lakini tuko nao kila siku. Ila mimi nitaendelea kubaki Sipo daima
SIPO,
Umejuaje kuwa Binti Maringo ndeye alikuwa KELLY?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom