Hawa wako wapi?

Mie nawatafuta sana hawa ndugu Josm na Faith. Wako wapiiii?
 
Mimi nataka kuwajua hawa waliobadilisha majina ni akina nani
1. De Novo
2. Babra
3. Charity

na wengineo
 
JF ina watu jamani kuna wanaoitwa MduduWashawasha na UBONGO yaani hawa ni watu wa kutamani kuwaona ukabadilishana nao maneno mawili matatu. Whats up guys i see you online big up men
 
kakalende, julius, icadon, william J., steve D etc

they are on sabbatical
 
Mshihiri, iko wapi alikuwa na avatar moja babkubwa inanikumbusha mzee mmoja kijijini kwetu alikuwa mtu wa ugoro sana mimeno ni brown mbaya..Mkuu Icadon na mambo yake yale kuhusu walinzi wa maraisi mbalimbali duniani kwa kwelii ilikuwa poa sana...Mods mnaweza kutuwekea kidogo hiyo tukumbukie??
 
Na Kingi naye ni nani? Na Veracity naye siku hizi vipi? Jamani watu wamebadili ID hadi JF inapoteza ladha
Sijui itakuwaje siku bht, Nguli, carmel, Geoff, FL1, Chrispin, Kaizer, Mzee Mwanakijiji, Sipo, MJ1 na wengineo wakibadilisha IDs zao ina maana watabdilisha na staili za uchangiaji wao au kuna kitu wanakikimbia au kukificha
 
she has nothing to hide so far!!!!!!!!! she will remain bht!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom