Hawa ni watu maarufu duniani ambao viatu vyao vimekosa mvaaji

Namkubali sana makonda sema tu anautoto na maigizo ya kishamba bwana
Hilo ndio linamuharibia. Ila nafikiri kuna muda atajitafakari na kutambua makosa yake uliyoyaandika hapa.

Baada ya hapo atakuwa amevivaa kikamilifu viatu vya mwamba.
 
Back
Top Bottom