Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,664
Deepika is cute,Ila na yeye sikio lake mmmh Lina mushkeli😁Kama Zari
Ila hawa wenzetu sijui uzuri wao huwa wanaangalia nini mimi hapo naona wa pili ndo mzuri zaidi na labda Deepika