Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
TheDealer kaanza hako katabia siku hizi,ina maana una mkuwadia Heaven on earth??
tizama sifa nilizo mwagia hapo unafikiri mdogo wangu wa moyoni Eli79 atakuwa na haja ya kukuhonga tena??
cc Heaven on earth...damn!
sa hivi kumbe kakubali...
mwambie nimeshakuja
hahaaa hapa hakuna kugandana bana
Nikikutaka weye ni kwa wan-nait-stand tuuuuu! tena unagharamia kila kitu... kama unaafiki ''nedip''
ina maana una mkuwadia Heaven on earth??
tizama sifa nilizo mwagia hapo unafikiri mdogo wangu wa moyoni Eli79 atakuwa na haja ya kukuhonga tena??
mimisa umeona ennheraha jipe mwenyewe mamaa
Noooooooooo! I guess ill pass! Im keeping my options open
mimisa umeona ennhe
Noooooooooo! I guess ill pass! Im keeping my options open
karibu kwenye ukoo wetu mamii jiskie uko home kabisaaa wewe upike na kupakua tu.
labda nikutambulishe wana ukoo wetu.
baba yetu na mama yetu hawa naomba niwataje kwa heshima yao tukufu ni Mamndenyi na mzee wetu ni chuachakara.
kaka zangu hapa ndo wazee walizaa hadii basi manake kuna tmu mbili za mpira nazo ni SnowBall, Mr Rocky Mwita Maranya, HORSE POWER, EMT, mito, cartura, Bazazi, Mentor, platozoom, Eiyer, Jiwe Linaloishi, Mtambuzi, Dark City. (hawa nimewataja randomly yaani wakubwa kw awadogo)
lara 1 jamani kuwa na moyo wa huruma plz! au wewe sio bindamu! ona dogo lake gfsonwin anavyong'ata meno kwa hasira ya kutaka kukumiliki kwa hii fomesheni 4-1-9-stand!C'mon! i know i can't afford u but at least one night...i'll live to remember the best moments with ya' tafwazali
hahahahhah!!!!!!!!!!!!!
sasa mie najitolea kudhamini pambano.
Heaven on earth naomba hapa nikutajie madada kwenye ukoo wetu
wadada hatujazaliwa wengi manake niko mimi peke yangu wa kike ila tu nina dada kwa baba mkubwa ni Paloma na dada kwa baba mdogo ni Madame B.
lakini nina shemeji yako Kaizer na mke mwenzangu ni dada mkubwa AshaDii
jamani mbona raha iliyoje hii......
nikija hapo nyumbani ndo ntatambulishwa yupi mkubwa yupi mdogo
nashukuru kuwahfaham wooote wana ukoo wa Eli79
UNDENIABLE alie tuu
karibu sna mpenzi wetu, kaka zangu wanajua kuoa tu hawajui kuacha.jamani mbona raha iliyoje hii......
nikija hapo nyumbani ndo ntatambulishwa yupi mkubwa yupi mdogo
nashukuru kuwahfaham wooote wana ukoo wa Eli79
hahahahhah!!!!!!!!!!!!!
sasa mie najitolea kudhamini pambano.