dismynder1
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 328
- 168
ujue nini pacha? Huyu wifi yetu anataka kushindana na best yangu Mamndenyi kupewapewa talaka, nilisha mwambia kaka yetu figganigga hajuiagi kuandika talaka wala kuacha mtu lakini haelewi ngoja sasa aone kitakacho mkuta kwa Eli79
huyo Eli79 ajisalimishe mwenyewe
umeona kuna mgeni wa kumkagua?nishaandaa
beleshi,sime na koleo vinamtosha!!
yupo busy kusaka mkwanja
vumilia siku akija sio yule ujue
ni papaaa figganigga aka pedeshee kinda mutoto ya njiwa!!
sijui amekimbilia wapi? Ila ukimuona mtaa wowote ule we mkamate ila utembee na sindano ya ganzi, ili akikusumbua umtulize nayo
cc: Die to survive
hahahaaa...... Hivi hajui figganigga ni mutu mukulu mutoto iliyojaa mbongoo kila kona...... Teh.. Teh.....!!!!!
my wi my wii ile siku si
nilikuelezea kwa ufasaha sababu ya haya yote!!!!!!
kaka yako nae simsomi anapotea muno
na kuniacha na upweke wa hali ya juu
ujue nini pacha? Huyu wifi yetu anataka kushindana na best yangu Mamndenyi kupewapewa talaka, nilisha mwambia kaka yetu figganigga hajuiagi kuandika talaka wala kuacha mtu lakini haelewi ngoja sasa aone kitakacho mkuta kwa Eli79
Haaa...yani besti unanitenga kisa figganigga anakutoa auti kila wikiendi...? afu ujue mwenzenu anakosa ile dawa ndo maana kaja kwangu ati!
natembea na sindano ya ganzi
na ya sumu,akisumbua sana ya sumu inamuhusu
DIE to survival ataisoma namba!!
Haaa...yani besti unanitenga kisa figganigga anakutoa auti kila wikiendi...? afu ujue mwenzenu anakosa ile dawa ndo maana kaja kwangu ati!
yupo busy kusaka mkwanja
vumilia siku akija sio yule ujue
ni papaaa figganigga aka pedeshee kinda mutoto ya njiwa!!
Haaa...yani besti unanitenga kisa figganigga anakutoa auti kila wikiendi...? afu ujue mwenzenu anakosa ile dawa ndo maana kaja kwangu ati!
sijui amekimbilia wapi? Ila ukimuona mtaa wowote ule we mkamate ila utembee na sindano ya ganzi, ili akikusumbua umtulize nayo
cc: Die to survive
tatizo la Eli79 ni ubahili. mambo vipi best? UMEPATA?. miandio na wewe uanze kunitoa out sasaila kukutenga wewe ni ngumu sana,friends 4ever!!
mimi nipo ndugu yangu. mwambie wifiyo Heaven on earth nampenda sana. mwambie anitunzie ua langu japo naona vidume vya jf vinammezea mate. majukumu yananiandama lakini nmemuweka moyoni tena sana tu. mmwaaaa...!!!. mfikishie busu langu. miahebu ngojnimuite tumkalie kikao kwanza.Weee figganigga weee......... Hebu ukuje huku, hivi mrembo kama huyu ukimkosa utampata wapi dunia hii???? Au unataka utuletee ma wifi mazombii........???

mimi nipo ndugu yangu. mwambie wifiyo Heaven on earth nampenda sana. mwambie anitunzie ua langu japo naona vidume vya jf vinammezea mate. majukumu yananiandama lakini nmemuweka moyoni tena sana tu. mmwaaaa...!!!. mfikishie busu langu. mia
asante sana mke mpenzi kwa ujumbe mzuri. ntafanya utakavyo laaziz wangu. kiss n hugss...!!!. miaCC; Eli79.jamani usichelewe kurudi kila nisikilizapohuu wimbo nafarijika moyoni,Daimond ukilala lalasalama Free Songs Download Music Lagu:A S kiss::A S kiss: figganigga
tatizo la Eli79 ni ubahili. mambo vipi best? UMEPATA?. mia
hehehee!!kwao si kule ubahilini
nimepata best yangu thanx kwa sana!!