Baba hiyo unayoizungumzia ni china ya ki communist y Mao ndio ilijenga Tazara kwa mkopo wa bila mashart na sio china hii ya kina Xi Jin Ping full ubepari.Propaganda za kimagharibi.. Mbona walitujengea Tazara na hatukuibiwa
Aisee.Wana ardhi kubwa mpaka haiwatoshi kiasi kwamba wamwekewa limiti ya kuzaa wantoto au sio??katika vitu ambavyo mchina hana shida navyo ni ardhi,china ni kubwa mno,na mpaka kuna ghost cities huko,yaani unakuta mji mkubwa,majengo ya hatari yako matupu hayana watu,leo aje kuiba heka mia za kwamtogole kweli?
Kwani uliambiwa serikali ya china imekataza watu kuzaa sababu ya ardhi tu,kuna insu nyingi ikiwepo huduma za kijamii insu sio ardhi bro.Aisee.Wana ardhi kubwa mpaka haiwatoshi kiasi kwamba wamwekewa limiti ya kuzaa wantoto au sio??