Hawa ndio wachina tunaotaka kuwapa ardhi yetu

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,727
21,118
Tunajifunza kitu gani hapa hasa kwa wale wapambanuaji wa uzao wa wape tupate vingi?
Screenshot_20180913-231145.jpg
 
Hiyo mikopo Mkulu anajinasibu kuchukua huko huoni unachokiona ni Bagamoyo SEZ tuu?
 
Uchu na tamaa ya madaraka kwa viongozi wa Africa inapelekea kuuza Bara Africa
 
Propaganda za kimagharibi.. Mbona walitujengea Tazara na hatukuibiwa
Baba hiyo unayoizungumzia ni china ya ki communist y Mao ndio ilijenga Tazara kwa mkopo wa bila mashart na sio china hii ya kina Xi Jin Ping full ubepari.
Bora ukolon wa kimagharibi kuliko huu wa kichina

NB:

1. Zimwi likujualo halikuli ukaisha.
2. Heri shetan anyekujua kuliko malaika asiyekufahmu.

3.SIFUNGAMANI NA CCM WALA CDM
 
katika vitu ambavyo mchina hana shida navyo ni ardhi,china ni kubwa mno,na mpaka kuna ghost cities huko,yaani unakuta mji mkubwa,majengo ya hatari yako matupu hayana watu,leo aje kuiba heka mia za kwamtogole kweli?
 
Aisee.Wana ardhi kubwa mpaka haiwatoshi kiasi kwamba wamwekewa limiti ya kuzaa wantoto au sio??
 
mnataka tugombane nao halafu nani aumie? kuna watu wanahamu Tanzania ipoteee kabisaaaaaaaa ndo wafurahi sjui wao kisa wanapost vitu wakiwa nchi zingine..sawa lakini
 
Aisee.Wana ardhi kubwa mpaka haiwatoshi kiasi kwamba wamwekewa limiti ya kuzaa wantoto au sio??
Kwani uliambiwa serikali ya china imekataza watu kuzaa sababu ya ardhi tu,kuna insu nyingi ikiwepo huduma za kijamii insu sio ardhi bro.
Korea kusini ni kama mikoa 2 ya Tanzania,inaingia mara 9 kwa Tz lakini ina idadi sawa ya watu kama Tanzania but mbona serikali ya korea kusini haijapiga marufuku watu kazaana
 
Back
Top Bottom