Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,692
- 41,140
Hujasema sabini au themanini.Ofcourse! Yani we ulidhani mi wa tisini na??? Lol mkuu nitake radhi
Hujasema sabini au themanini.Ofcourse! Yani we ulidhani mi wa tisini na??? Lol mkuu nitake radhi
Hapana nilikuwa nasaidia kubeba kama hongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa unabeba pia?
Hana matumaini tena ya kufika dar maana magu kawakaba koo lazima walime. Kilichobaki ni kuponda tuMkuu badilika,,,kuna MTU alikufanya vibaya kutoka DSM,,,kama huna la kukoment kausha tuu,,usiwe kama unapumuliwa wewe,,,boya wee
Najua unataka ku refer story ya chupi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa af nilitaka niulize hivyohivyo sema nikaamua kukausha
Mbona unasema uongo inavoelekea wewe u have issues daslam degree kula kwa wazazi duuuh!Yatima!Watoto waliozaliwa mikoan hapo huyo mtoto usikute n yatima lakn hateteleki anapigana na maisha..
Lakn Mwanaume mwenye miaka 30 wa dsm mwenye degree hawez hata kujitafutia Hata lakimoja yupo kwa baba na mama kula kulala
Mkemee na yule mwingine pia vinginevyo dabo standard naamini hukuwa na nia ya kuwadhalilisha hao watoto vinginevyo..............................Acha matusi basi..
Hahahaa mkuu hujanielewa...nazungumzia tofauti ya karne iliyopita tulipokuwa watoto na karne hii ambayo ni wazazi na walezi. Malezi tuliyopata sisi kwa wazazi wetu sio hayo tunayowapa watoto wetu..umenielewa??
Mmh basi bwana kama hujanielewa sina maneno mengine ya kukuelewesha