Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,417
Hao ukikutana nao washamaliza chuo wako pale Barclays bank huwezi kuwakumbuka....!
Watoto waliozaliwa mikoan hapo huyo mtoto usikute n yatima lakn hateteleki anapigana na maisha..
Lakn Mwanaume mwenye miaka 30 wa dsm mwenye degree hawez hata kujitafutia Hata lakimoja yupo kwa baba na mama kula kulala
Umeanza kuwananga wanaume wetuWatoto waliozaliwa mikoan hapo huyo mtoto usikute n yatima lakn hateteleki anapigana na maisha..
Lakn Mwanaume mwenye miaka 30 wa dsm mwenye degree hawez hata kujitafutia Hata lakimoja yupo kwa baba na mama kula kulala
Bila kutaja WANAUME WA DSM siku yako haikamiliki.......hao watoto wako Dar sasa hivi wanang'aa huwezi amini kama ndio walikuwa huko kijijini kwenu! Na hawarudi ng'o mtabaki kulialia tu wakija mjini wanawapiga chini!Watoto waliozaliwa mikoan hapo huyo mtoto usikute n yatima lakn hateteleki anapigana na maisha..
Lakn Mwanaume mwenye miaka 30 wa dsm mwenye degree hawez hata kujitafutia Hata lakimoja yupo kwa baba na mama kula kulala
dar kama hollywood kijana zingatia hilo, dada zako wakija huku tunawafunua tu kiulainiWatoto waliozaliwa mikoan hapo huyo mtoto usikute n yatima lakn hateteleki anapigana na maisha..
Lakn Mwanaume mwenye miaka 30 wa dsm mwenye degree hawez hata kujitafutia Hata lakimoja yupo kwa baba na mama kula kulala
Acha matusi basi..
Kiswahili kimekua kweli ,hiyo mizigo mpaka kuja kuona hizo kuni nyuma yao imenichukua mda ,Watoto wadogo lakini wana mizigo balaa.
Kwa style ya ubebaji huo WA kuni....hao Ni Wakenya!
Kichwani mkuu! Hao wanavaa Kama Begi mgongoni, then kamba ya support inapita kwenye paji la uso.Hapa kwetu tunabebaje?