Mkuu hiyo painting Ni ya artist toka Kenya, sijajua Tu hiyo Ni style ya Wakikuyu au Jaluo au yote!Daaah wanabeba mgongoni haziwachomi?
Wapi wewe!!!....huna hata kid! Unavunja mifupa angali meno iko....Hahahahaa sio uzito...nimezeeka atii
Hahahaa mkuu nimecheka sana hii post yako...wazazi na walezi wa zamani walikuwa strict sana aisee na hii ilisaidia kujenga nidhamu na kujituma. Sisi wa karne hii saaasa!nakumbuka ukiwa unarudi nyumbani na kuni kichwani ile unafika tu unaambiwa usimame nazo kichwani... mtu anaangalia kupitia kwenye kuni kama anaona upande wa pili(can see through ) maana yake we hujaleta kuni ila umelegeza kamba tu, siku hiyo unalo maana utakuwa ulienda kucheza tu... ila kama haoni upande wa pili (cant see through) hapo ndo unapongezwa kwa kuleta kuni.
sasa kama kaguswa kwanini asitukane haha.....Acha matusi basi..
Teh teh..Yani nilipoisoma hiyo comment nikarudi juu fasta kuicheki picha upya..Nikasema mbona wamekaa sasa huu mzigo ameuona vipi..ikabidi nirudi kwenye maziwa nako nakuta hola..Nikabaki nayalaumu macho yangu tu..Baadae ndo nikaelewa[emoji23] [emoji23] Tatizo vijana wa siku hizi mnajiongeza sana
Hahahaa mkuu nimecheka sana hii post yako...wazazi na walezi wa zamani walikuwa strict sana aisee na hii ilisaidia kujenga nidhamu na kujituma. Sisi wa karne hii saaasa!
Hahahahaa lolTeh teh..Yani nilipoisoma hiyo comment nikarudi juu fasta kuicheki picha upya..Nikasema mbona wamekaa sasa huu mzigo ameuona vipi..ikabidi nirudi kwenye maziwa nako nakuta hola..Nikabaki nayalaumu macho yangu tu..Baadae ndo nikaelewa
Kweli mkuu, haya buana!!! Unajizeesha ujueHahaa kwani kids ndo kigezo cha utu uzima? Kuna watu huwa wanazeeka hadi wanakufa hawajawahi kunyonyesha
kwa maisha ya sasa mtu anaweza asiwe na mtoto lakini akawa ananyonyesha tena lijitu likubwa tu..........Hahaa kwani kids ndo kigezo cha utu uzima? Kuna watu huwa wanazeeka hadi wanakufa hawajawahi kunyonyesha
Hahahaa mkuu hujanielewa...nazungumzia tofauti ya karne iliyopita tulipokuwa watoto na karne hii ambayo ni wazazi na walezi. Malezi tuliyopata sisi kwa wazazi wetu sio hayo tunayowapa watoto wetu..umenielewa??mkuu kwani unataka kuninyima nn hata unihamishe kutoka karne yako hadi karne uliyoiita ya zamani???
ila umenena vema.... kazi nlizofanya mm nikiwaangalia madogo naona wanapata raha sana... wanaishi kinyanyanyanya tu
hahaha acha uoga!......Huko kunyonyesha kwingine unakujua wewe mi sijasema huko
Ina maana umezaliwa miaka ya sabini na au themanini na???[emoji23] sijizeeshi naongelea uhalisia