Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,682
- 3,065
Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.
Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya..
Mfano
1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa aliteuliwa ubunge ili ampe uwaziri ili amsaidie majukumu katika sekta ya elimu.ni mama aliyependwa na mdau yoyote wa maendleo ya elimu enzi za Kikwete ila kwa sasa amepwaya labda ile tumbua tumbua ya Magufuli imemfanya akagombee ubunge ili akitumbuliwa uwaziri abaki na ubunge .
2. Philip Mipango ni Dkt sikuwahi kumskia popote pale katika medani za siasa nae anataka ajitose kwenye ubunge...huenda sababu ni ile Ile kuwa hawana uhakika wa kudumu katika huo uwaziri tumbua tumbua ya Magu kila wakati inawatisha
3. Kabudi - huyu ndio n mwanasiasa/mwanasheria hakuwai kuwa na ndoto ya kuja kuwa mbunge ...sijui boss amemtuma au hajui anapokwenda...anataka kuwa mbunge akiwa mzee .
4.
5.
6.
Mlolongo wa hawa mawaziri walioteuliwa na Rais kuwa wabunge wa JMT badae kuwapa uwaziri kwa nini kama wamefanya kazi vizuri na Rais wasisubiri kuteuliwa tena ili kushika madaraka hayo hayo.
Nikiwa na imani kuwa MAGU ATARUDI MADARAKANI hata kwa dola.
Waachie wengine nafasi (Hasa vijana)