Hausegirl katushika pabaya

Hausegirl katushika pabaya

Kaka unaharibu! Mie hata 5m ningetoa! Hiyo aibu mazara na visasi ni hikubwa Sana! Usimsikilize huyo mwanamke ni wa kupita ila kuharibi heshima kwa huyo ndugu yako ni mbaya Sana!na of course kitendo ulichofanya Mia cha kinyama ... Unaitwaje na mwanamke wakati w kazi kwake? Tena mke wa rafiki umle? Kwanza wewe ndio Mshawishi mkubwa! Haufai kwenye jamii!



Wakuu hamjambo?
Nina Rafiki tulieshibana kwa muda mrefu sasa, huyu jamaa yupo very successful in life
Amejijenga, ana nyumba zaidi ya nne hapa mjini, na miradi chungu nzima

Huyu jamaa amekua na mgogoro mkubwa sana na mkewe kwa muda mrefu sasa
Tatizo lao kubwa ni kwamba jamaa ana kisukari kikali sana cha kurithi type 1 ambacho kimepelekea kushindwa kabisa tendo LA ndoa

Mwanamke hakuwahi kutoka nje amekua mvumilivu huku akitumia njia za asili kama kujichua na midoli

Haya yote nimeyafahamu kwa kuwa Mimi ndio msiri wao na msuluhishi mkuu Wa mgogoro wao

Mwaka Jana mwanzoni mwanamke alisafiri kikazi mkoani arusha, accidentally nami nilikua huko kwa shughuli za biashara, akaniomba tuonane kwa mazungumzo
Nikamfuata hoteli aliyofikia tukaongea mambo mengi kuhusu matatizo yao
Tukaagana saa mbili usiku wakati naondoka akaniuliza naelekea wapi nikamwambia naenda kupumzika then naenda bendi usiku akasema kwa nn tusiende wote? Nikasema poa

Usiku tukawa bendi tunaserebuka hadi saa tisa usiku, tukakodi tax ili ianze kumshusha yeye then mm
Cha kushangaza tukiwa njiani siti ya nyuma akanivutia kwake tukaanza kupeana denda katika hali ya ulevi
Taxi ilipofika hotelini kwake akaniambia tushuke twende wote

Nami nikiwa nimewaka tamaa na uchu Wa ngono nikajikuta namfuata hadi chumbani, kufika ndani alionekana na uchu Wa ajabu ambapo aliniparamia na kuanza kunivua nguo kama wale watu Wa mieleka
Asubuhi ilikua ni Jumamosi akaniambia nisishangae kwa yaliyotokea maana yy ameshindwa kuvumilia umepita mwaka tangu mumewe asimamishe Mara ya mwisho na kuwa amejichua amechoka

Wiki nzima hiyo tulilala pamoja hadi tunarudi dar

Tumeendelea kufanya kwa siri kubwa hadi majuzi nilipoenda kwake asubui ya saa tano, kwanza nilimpigia simu jamaa akaniambia naenda kazini hadi mchana ndo tuonane mjini,
Mwanamke akaniambia niende ana hali mbaya, akamtuma sehemu Housegirl akamwambia hadi ampigie simu ndo arudi...

Alipoondoka housegirl nami nikaingia, ambapo alinidaka palepale sebuleni na kusaula na tukaendelea hapo hapo tukiwa katikati kama tulivyozaliwa housegirl akaingia na kutufuma red handed in action

Kumbe alisahau simu aliyoambiwa aibebe
Aibu iliyotushkka haisemekani
Akachukua simu akaondoka zake
Aliporudi shemeji akamweka chini akamwambia asithubutu kumwambia mtu alichokiona
Akamtisha atamfukuza
Cha kushangaza binti alikua na ujasiri Wa ajabu na kumjibu shemeji kuwa yeye hajali kufukuzwa ila ni lazima aseme la sivyo tumpe million moja ya mtaji akaanze biashara ndipo atuache huru na ataondoka pale home kinyume na hapo anasema, ametoa wiki

Hivi sasa yeye ndo kageuka bosi ndani, anaagiza aletewe kila kitu huku kakaa na remote sebuleni

Shemeji kasha panic anasema yeye hawezi kumpa kikojozi kama yule million na kwanza anasema ameshachoka na ndoa yenyewe na anataka mtoto kwamba anaelekea 35 hajazaa kutokana na Kumvumilia jamaa so bora aondoke tuwe guru

Nipo njia panda wakuu
Huyu jamaa ni kama ndugu kwa sasa
Sitaki kuharibu uhusiano wangu na yeye ameshanisahidia sana huko nyuma
Nifanye nini?

Au nimpe tu hiyo hela Housegirl?
 
apo dawa wewe meambie uyo mama akupe nafasi ugonge uyo housegirl then mpange dili nae ili aje afumanie live nahousegirl. apo house girl ataondoka mwenyewe bila kuaga.ila atakuaga wewe tu na atakueleza anapoenda ili uwe unaenda kumgegeda uko. faida apo utakuwa na wagegedwa wawili.
 
Wake za watu watamu ila songombingo lake ni noma kwelikweli. Wahenga walisema "ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji, sasa nyie watu wa bize na kazi na visukari, chungeni marafiki.. Ni bora usiwe na marafiki kuliko wanafiki kama huyu!

Shida ni kwamba mwanamke anapenda mtu anayemfahamu na aliyemzoea, so ukiachilia mbali mme wake option za mwanzo huwa ni rafiki au hata ndugu wanaoishi hapo nyumbani.. Fanyeni mazoezi, kuleni vyakula vya asili ndo ukombozi wenu..

Yaani umetomba mke wa rafiki kisa pombe, then ukaendeleza bila ulevi, hiyo ni makusudi.. Mkarudi mjini ukaendelea kumtia hadi home kwa jamaa, tena sebuleni, hiyo ni dharau!!

Dah, tutakuwa tunaogopa kuona km ndo hivi!!
 
hutaki kuharibu vipi ndoa ya mwenzio wakati ushaharibu??????
eti pombe???!!!
Afu sebuleni????!!!

uwiiii.....!!!!!!!

Nimekumiss wangu, upo? Mii ananchanganya huyu.

Bila ya pombe, wakapanga kwenda dance.

Bila ya pombe wakashare hotel 1 a week through.

Bila ya pombe, wakachagua venue sebure.

Bila ya pombe, kaja jf, sasa pombe inahusika vp hapa!
 
Hako kascene ka kwenye gaari hako.,kama ukarudie!!with more details
 
hapo hakunaga siri tena ya watu 3 mpaka sasa hampo salama kamwe coz mpaka huyo bint kafikia kusema hivyo kaeni mkijua kuwa lazima kuna watu au rafiki zake aliwasimulia so nao wanajua hilo ndio maana wakamtia jeuri ya kudai 1 milion.

hapo ni ishakuwa shida daaa kama mnataka kuwa salam hapo ni bora mmfanyie umafia tuu atangulie mbele za haki no way maana yy ndio mwenye ukweli halisi na ndio mhusika mkuu
 
Kwa nn hamkufunga mlango? Yaani unachapa mke wa mtu kwake na mlango hamja lock kama aiingii kichwani
 
Mkwara tu huo hamna lolote!! Unataka tu mtu ashindwe hata kula msosi?

Haaaaaaaaah haaaaaaaaaahh ni shidaa unadhani wats next kama mshkaji yupo jf...? Anyway hatuombi yatokee hayo na i was just tryn to put on de shoes of the 3rd party..!
 
Kama sina uwezo bora rafiki yangu wa karibu ale mzigo wa mke wangu,mimi nitaendelea kupotezea kama sijui hata azae naye poa tu.
 
Nimekumiss wangu, upo? Mii ananchanganya huyu.

Bila ya pombe, wakapanga kwenda dance.

Bila ya pombe wakashare hotel 1 a week through.

Bila ya pombe, wakachagua venue sebure.

Bila ya pombe, kaja jf, sasa pombe inahusika vp hapa!

Shangaa wewe mweee!!!!

nipo asee vipi story ndo huleti tena???
 
Anyway katika yote huwezi kuvua nguo sebuleni bila ya kufunga mlango. Vinginevyo story yako ni nzuri
 
Shangaa wewe mweee!!!!
nipo asee vipi story ndo huleti tena???

LOL
wadau walipeleka attention zao kwa Mbasha na Flora, sasa hivi wamehamia kwa GWAJIMA!

Wakirudi na mimi nitaleta mzigo mmoja wa nguvu!
 
mimi nadhani tufike mahali tuache kuilaumu pombe. tujilaum,u wenyewe, hebu fikiria umetoka na mtu mmeenda club hapo napo pombe inahusikaje wakati bado hujanywa hapo wote mnaakili safi, mnakunywa pombe mnacheza mziki kwa kukumbatiana then mnavutana hadi hapo bado unalaumu pombe nadhani akili zetu hazipo sawasawa
 
hapo hakunaga siri tena ya watu 3 mpaka sasa hampo salama kamwe coz mpaka huyo bint kafikia kusema hivyo kaeni mkijua kuwa lazima kuna watu au rafiki zake aliwasimulia so nao wanajua hilo ndio maana wakamtia jeuri ya kudai 1 milion.

hapo ni ishakuwa shida daaa kama mnataka kuwa salam hapo ni bora mmfanyie umafia tuu atangulie mbele za haki no way maana yy ndio mwenye ukweli halisi na ndio mhusika mkuu

Kuua tena, hilo wazo siyo kabisa. Nadhani hapo ni kuongeza tatizo badala ya kupunguza.

Wakiuua, wakafundulika inakuaje? Huu ushauri sio kabisa. Bora hiyo aibu kuliko kuua.
 
Back
Top Bottom