Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.
Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.
Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.
AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!

Best nipo poa wala usishangae best, dunia imevaa pensi, pensi yenyewe kwenye makalio iko wazi kabisa. Juzi tumeona jamaa kamfumania baba yake na mkewe, huyu naye anasema kilevi kikamfanya atende kosa hilo linakubalika, sasa wamenogewa wamechonga mzinga na kumbuka Best za mwizi ni arobaini.
Na akimtokea akamnyima itajuwaje? Hujatoa plan B. Big up anyway Sister!
Tena mimi wa kwangu nikipitisha wiki tunalala kitanda kimoja sijapiga mashine walahi analiwa kilaiiiiniii. Na alivo gangwe yule anaweza hata kunionyeshea.
Hakuna haja ya kumpa mtaji hsegal, fukuza, akiamua kusema mtajua namna ya kujitetea. Takataka kama hsegal atawasumbuaje vichwa kiasi hicho. Mnaweza kumpa mtaji, baada ya muda akarudi tena kutaka nyingine kwa madai msipompa atasema.
Wakuu hamjambo?
Wiki nzima hiyo tulilala pamoja hadi tunarudi dar
Shemeji kasha panic anasema yeye hawezi kumpa kikojozi kama yule million na kwanza anasema ameshachoka na ndoa yenyewe na anataka mtoto kwamba anaelekea 35 hajazaa kutokana na Kumvumilia jamaa so bora aondoke tuwe guru
Kama stori ni ya kweli-hana haja ya kumhofia House Gir-Mwambie shemeji yako akazungumza na mume wake aeleze hali halisi bila kutaja kwanza kama ni wewe kwa ajili ya kumwandaa jamaa kisaikolojia -na ajieleze shida anayokumbana na matatizo aliyopata Mume wake kushindwa kutoa huduma.
Jamaa ataelewa kama kweli ugonjwa aliokuwa nao hauna matarajio ya kupona na kama kweli mwaka umeisha.
Nipo njia panda wakuu
Huyu jamaa ni kama ndugu kwa sasa
Sitaki kuharibu uhusiano wangu na yeye ameshanisahidia sana huko nyuma
Nifanye nini?
Au nimpe tu hiyo hela Housegirl?
Undugu nikusaidiana kwenye matatizo-ila wewe unakazi lazima pesa ikutoke kinyume na hapo House girl hata kama kwa huyo jamaa utafanikiwa kumaliza tatizo kazi inabaki kwenye ndoa yako-labda kama huna.
Ni kitu cha kutisha. Tuache bia na mavyakula ya wanga tuzingatie mazoezi na kula kwa kiasi. Dah yani kitu yako inaliwa kiulaini, kidume inabidi ujipe moyo tu kua angalau tunalea watoto. Heheh aisee!Hahaha mkuu angalau wako unamjua hivyo ni lazima utimize jukumu lako kunako faragha. Otherwise hakika unagongewa.
Kinachouma ni wale wanaopatwa na maradhi kama hicho kisukari, kula unataka lakini hata kwa jeki haisimami....daaaaaaah! Mengine tuombe yapite mbali....!
Inabidi ulevi upigwe ban....isiwe shidda