Hausegirl katushika pabaya

Hausegirl katushika pabaya

Akizidiwa akili na beki tatu aibu nitaona mie. Yaani awe na swaga za kumteka make Wa MTU ashindwe kumteka kuku Wa kuchora? Itakuwa maajabu ya dunia.

Kama umeisoma hiyo hadithi tangu mwanzo ni kwamba, mke wa huyo rafiki yake ndie aliyeanzisha na wala sio swaga za huyo jamaa.

Mpango wako ni mzuri lakini tatizo halimalizwi kwa kusababisha tatizo lingine. Kama ikitokea rafiki yake (mwenye mke) akawabamba au akasikia huyu rafiki yake anatoka na housegirl si ndio hali itakua mbaya zaidi?
 
Ulianza kusimulia vizuri sana, ikaanza kuaminika, kuna sehemu ndogo sana umeharibu na kufanya simulizi nzima kuonekana ni uongo wa kutunga.

Kama kila post unaona imetungwa then you have a problem with ur IQ.
Lazima utakua muangaliaji sana Wa tamthilia za mexico na bongo movie that's why kila post mind yako ina reflect hizo film, so you need to change
There is no point katika umri huu Wa miaka 37 niliyonayo nije hapa kutunga uongo

How old are you by the way?
 
Hakuna haja ya kumpa mtaji hsegal, fukuza, akiamua kusema mtajua namna ya kujitetea. Takataka kama hsegal atawasumbuaje vichwa kiasi hicho. Mnaweza kumpa mtaji, baada ya muda akarudi tena kutaka nyingine kwa madai msipompa atasema.

Sina tatizo na ushauri wako ila nimesikitishwa sana na kitendo cha kumuita dada wa kazi takataka.
 
Wabongo Kwa Nin Tusitengeneze Movie Maana Story Tunazo Nzur Tuu Jamani
 
Huo ni mpango kabambe wa shemeji na hg wake. Walipanga tangu mwanzo kukupata wewe uwe unamsugua madha hausi huyo.
Tena nakuambia hakuna bahati mbaya kukutwa sebuleni kwani madha hausi si kichaa kiasi hicho asalulie sebuleni na milango wazi.
Cha kufanya; Mkomalie hg na kumwambia aende mapema kabla hayajapoa akamwambie boss wake. Tena mwambie akuambie ni lini ili uje hapo nyumbani aseme ukiwepo.
Ka jamaa ni rafiki wa kweli anayekushirikisha mambo zake, hatakasirika ila atakuomba umwinulie mtoto wa nyumba yake. Huu ni ushauri wa experience ya siku nyingi wala usiogope kwani jamaa kukushirikisha hayo ni kama anakuomba msaada umtolee aibu yake
 
Hilo janga lililomkuta huyo rafiki yako ni zaidi ya hatari.
 
Kwanza nakupongeza HONGERA sana kwa kumtafuna mke wa mtu. Umerejesha matumaini kwa namna moja ama nyingine kwenye ndoa yao.

Pili, nakupa POLE mapema kabisa kwa yatakayokukuta siku utakapofumaniwa na mwenye mali.

La mwisho, ongea na huyo house girl vizuri, ikiwezekana mtafune naye mambo yahishe
 
Kisukari ni ugonjwa mbaya sana. Solution yake ni kula bamia mbichi kila siku asubuhi wallah atapona
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.

Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.

Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.

AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!

Lara1
umeni-mention, tafadhali na majina ya watu

Chunga hiyo ndimi.
 
Jamaa umemgongea mshkaji wala huogopi yani... Then you call him " kama ndugu yangu"....
 
Rafiki wa kweli shida sana kumtambua jamaa amekusaidia mambo mengi tena unamchukulia kama ndugu halafu malipo yake unaamua kuanzisha mahusiano na mkewe......hapo haku urafiki bali unafiki akilijua hilo hutakuwa na pakutokea mkuu
 
Soo umeamua kuniadhirsha na kutembea na Mke wangu au sio...?Yaaani kukuamini kote huku na kukufanya rafik wa karibu kwa furaha na huzuni kweeeliii..! Yaaani hata wema wangu umeusahau pale ulipokuwa waja kwangu ukiwa na shida za hapa na pale Nami nkajitolea kukusaidia..! Poa bhaaaaana NASHUKURU sana haina shida.! Tambua tuu kuwa malipo ni hapa hapa Duniani...NASHUKURU SANA
 
Akizidiwa akili na beki tatu aibu nitaona mie. Yaani awe na swaga za kumteka make Wa MTU ashindwe kumteka kuku Wa kuchora? Itakuwa maajabu ya dunia.

Mhhh... !
 
Soo umeamua kuniadhirsha na kutembea na Mke wangu au sio...?Yaaani kukuamini kote huku na kukufanya rafik wa karibu kwa furaha na huzuni kweeeliii..! Yaaani hata wema wangu umeusahau pale ulipokuwa waja kwangu ukiwa na shida za hapa na pale Nami nkajitolea kukusaidia..! Poa bhaaaaana NASHUKURU sana haina shida.! Tambua tuu kuwa malipo ni hapa hapa Duniani...NASHUKURU SANA

Mkwara tu huo hamna lolote!! Unataka tu mtu ashindwe hata kula msosi?
 
Kama kila post unaona imetungwa then you have a problem with ur IQ.
Lazima utakua muangaliaji sana Wa tamthilia za mexico na bongo movie that's why kila post mind yako ina reflect hizo film, so you need to change
There is no point katika umri huu Wa miaka 37 niliyonayo nije hapa kutunga uongo

How old are you by the way?

Mbali na umri wanatakiwa hata kupimwa akili.
 
Ukiachanana kuharibu uhusiano wako na jamaa

je unampenda huyo mke wake? je upo tayarikuishi na wewe kama mke na mume?

maana anataka awe nawe nadhani ndio maana hajali, je anavyokazania kuwa hataki ndoa ni anataka kuwa nawe milele ameonja anafurahia..je wewe unataka kuwa nae milele...najua vya kuiba wengine wana enjoy muda huo wa kuiba ikiwa chako hainogi tena...na unajikuta unaona hakufai

so fikiria.....eee kawa bosi...

haya mpe ila unampa ili uendeleee kuiba na shemeji au unampa ili uache na uwaachie ndoa yao...akitaka apate mwanaume mwingine ila sio wewe...hapo sasa


ila ungekuwa wewe rafiki huyo ungejisikiaje kuibiwa mke kama unavyofanya, si bora mtu usiemjua au?

haya achia ngazi mwanaume hauna haya wewe...
 
Back
Top Bottom