Nyang'omango
Senior Member
- Nov 6, 2011
- 194
- 87
Atakuuwa huyo jamaa yako, fanya hima toa hiyo million. .....jambo hili ni Hatari sana, usilete mchezo kabisa juu ya hill......
Umeamini hii paukwa pakawa?Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.
Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.
Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.
AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!
If you really love your wife you might as well let her go. Hivi kwanza umng'ang'anie ili iweje. Mimi asepe tu aisee.Changamoto za ndoa nazo ni nyingi. Imagine mtu ameoa kabisa na machine iko fit 24/7, then all of a sudden unasimamisha kwa jeki...wtf? Ni lazima uchapiwe hata mkeo awe mjasiri na mvumilivu kiasi gani, ni lazima atachapwa tu.
If you really love your wife you might as well let her go. Hivi kwanza umng'ang'anie ili iweje. Mimi asepe tu aisee.
Mh! hii ni shida sana, haya anakufanyia mtu anayekuita rafiki wa karibu na undugu ambaye anakiri kabisa kwamba anathamini na kutambua mchango wako na msaada wako maishani mwake.
Binafsi kwa kulitambua hilo, nilisha amua tangu kitambo kuweka mbali mazoea ya ukaribu na wake za rafiki zangu na watu nnaoheshimiana nao, ni bora akilalamika simchangamkii kuliko kuniletea fedheha kwa rafiki na jamaa zangu ambao imenichukua muda kujenga uaminifu kwao.
Na tatizo ukishaharibu kurudisha hiyo heshima na kuaminiana kama mwanzo haiwezekani tena hata kama mtasuluhisha yaliyotokea!
huyo hausigel pumbav sana peleka mabepwande
na hao waliokutwa wapuuzi kweli...walisahau vipi kufunga mlango!!na kwanini wasipigie game chumbani au hata stoo!
.... ataliwa cku zisizo zako....