Hausegirl katushika pabaya

Hausegirl katushika pabaya

Ni pm namba ya huyo mwanamke nina dawa mumewe atapona

Inaelekea wewe ni dokta mzuri sana, Hongera kwa ukarimu wako......

Lakini mkuu kwanini asikupe namba za mme wake moja kwa moja?
:confused2: :confused2:
 
Nasikitika sana kuona watu huku wanaunga mkono uzinzi na uasherati.

wewe mtoa mada na huyo mzinzi mwenzio mnastahili kupotezwa tu.
 
Nipo njia panda wakuu huyu jamaa ni kama ndugu kwa sasa na sitaki kuharibu uhusiano wangu na yeye ameshanisahidia sana huko nyuma

Nifanye nini? Au nimpe tu hiyo hela housegirl

kama ni ndugu yako usingethubutu kulala na mkewe hasa katika nyumba yake
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.

Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.

Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.

AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!
Hapo sawa kabisa huyo hausi gelo hana lolote zaidi ya mi genye inayomsumbua sumbua mpk wivu.
 
Wewe mwanaume mwambie mchepuko wako aibe cm ya hg halafu a copy namba muhimu kama za ndugu wa karibu wa huyo dada na majina. Kisha muite huyo hg mwambie aseme ila akimaliza hapo ahame dunia. Tena mwambie akisema familia yake ipo hatarini na taja kwa majina watu wake. Ukipata namba unaweza kufanya kama unatuma tigo pesa au mpesa kwenye hizo namba kupata full names zao. That should scare her. Ikiwezekana njoo na ka bastola uwe una kasafisha safisha wakati unazungumza. Be very brief and mean business then leave. Wewe ndo mpe deadline ya kuondoka hapo home la sivyo mwambie utamuonyesha! Teheee mie simo! Cc Eli79
 
Last edited by a moderator:

we 64Bits unamfundisha nin imwenzako!!!! miss you my girl ujuwe!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sn mdada kw uvumilivu wa mda mrefu bt maamuz yako n bora ukae chin n mumeo mkakubalian kwn hata mungu atakupa karama fln
 
Fukuza Huyo Beki3 Kwanza Najua Hanalolote Huyo! Bila Shaka Atakuwa Ni M2 Wa Kigoma!
 
hahahahahaaaaaaaa...av laughed a lot a house girl turning to be a remote controller:laugh:
 
....inafurahisha housegirl kugeuka na kuwa bosi ndani!!
 
we 64Bits unamfundisha nin imwenzako!!!! miss you my girl ujuwe!

Mh kabla sijajibu ngoja niwatake radhi wenyewe kwanza... ila potelea mbali
.. miss you too mtumishi! Hope uko poa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.

Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.

Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.

AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!

Shikamoo lara 1
 
Last edited by a moderator:
Akyamungu tenda wema nenda zako. Hakuna marafiki siku hz, tn kuwa na marafiki ni matatzo sn. heri uwe peke yako tu ht uitwe mchawi poah tu.. Sihitaji marafiki
 
Mh shemeji shemeji.Uku wazima taaaa. Kumbe zile nyimbo za zamani zina maana sana nilujuaga ni wimbo tu kumbe yapo
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.

Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.

Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.

AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!
Haya maLikes ulokula kwa hawa magriit thinkaz inaonekana ushauri wako ni kuntu....

Back
Top Bottom