Wakati wa Kikwete kulikuwa na shida ya sukari acha uongo hadi mitaani ilijaa sukari nyeupe ya viwandaniKwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu mwendawazimu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization....
two or three factsKwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu mwendawazimu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzankia wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania. Mwaka 1980-85 zilitawaliwa na uhaba wa kila kitu kuanzia sabuni, nguo, mchele nk. Hizi bidhaa zilikuwa zinapatikana kupitia RTC na maduka ya kaya Kwa foleni. BWM na JK hawakuvuruga mfumo wa biashara ulioanzishwana Mwinyi, instead waliuongeza nguvu.
Kwanini tulirudi kule kweusi alipokuja Magufuli?
Magufuli alikuwa MWEHU tu, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka. Kwanini aliwapa Manufacturers role ya trading? Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye workforce ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari? Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.
Alivyoharibu biashara ya korosho ndivyo alivyoharibu biashara ya sukari. Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii.
Anochofanya Rais SSH ni ku "reboot" au "reset to factory settings", kama tunavyo fanya simu ikisumbua au iki-jam.
Ngoja tuone...
Ukiendesha gari kuna muda unaongeza mafuta na kuna muda unapunguza, ila kwa wewe unaweza ukaweka jiwe kabisa kwenye exelerator, i hope umenielewaKwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha kati yamwaka 1985-90 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga.
Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania.
Mwaka 1980-85 zilitawaliwa na uhaba wa kila kitu kuanzia sabuni, nguo, mchele nk. Hizi bidhaa zilikuwa zinapatikana kupitia RTC na maduka ya kaya Kwa foleni. BWM na JK hawakuvuruga mfumo wa biashara ulioanzishwana Mwinyi, instead waliuongeza nguvu.
Kwanini tulirudi kule kweusi alipokuja Magufuli?
Magufuli alikuwa MWEHU tu, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka. Kwanini aliwapa Manufacturers role ya trading?
Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye workforce ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari?
Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.
Alivyoharibu biashara ya korosho ndivyo alivyoharibu biashara ya sukari. Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii.
Anachofanya Rais SSH ni ku "reboot" au "reset to factory settings", kama tunavyofanya simu ikisumbua au iki-jam.
Nchi ingekuwa kama jehanamu sasa.Leo nimefurahi sana. Mtu kaleta ukweli wote
Jamaa alikuwa mbaya sana. Tushukuru mungu katuondolea. Imagine miaka mitano kaharibu nchi kwa kiasi hiki. Je isingekuwa covid kufika Leo tungekuwa hovyo sana
Umejitahidi kuzungumzia sukari kwa upana lakini hukugusa tatizo la sukari na kodi.Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha kati yamwaka 1985-90 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga.
Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania.
Mwaka 1980-85 zilitawaliwa na uhaba wa kila kitu kuanzia sabuni, nguo, mchele nk. Hizi bidhaa zilikuwa zinapatikana kupitia RTC na maduka ya kaya Kwa foleni. BWM na JK hawakuvuruga mfumo wa biashara ulioanzishwana Mwinyi, instead waliuongeza nguvu.
Kwanini tulirudi kule kweusi alipokuja Magufuli?
Magufuli alikuwa MWEHU tu, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka. Kwanini aliwapa Manufacturers role ya trading?
Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye workforce ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari?
Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.
Alivyoharibu biashara ya korosho ndivyo alivyoharibu biashara ya sukari. Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii.
Anachofanya Rais SSH ni ku "reboot" au "reset to factory settings", kama tunavyofanya simu ikisumbua au iki-jam.
Huo ni uzembe wa serikali yenyewe kwa kuendekeza rushwa!Umejitahidi kuzungumzia sukari kwa upana lakini hukugusa tatizo la sukari na kodi.
Mahitaji ya sukari kwa nchi ni kama 450,000 tons mpaka tons 500,000 ukiweka na matumizi ya majirani zetu kama vile Congo na Burundi ambao huingiza sukari nchini mwao kupitia sukari tunayo iingiza ama kuzalisha nchini kwetu.
Katika kodi sukari inayo agizwa ni nyingi kuliko tunayo zalisha lakini kwenye malipo ya kodi ni 17% tuu ya mapato hulipwa na waagizaji wakati 82.75 ya kozi ya sukari hutokana na malipo ya viwanda vya ndani vinavyo zalisha sukari.
Sasa hapa ni mama kutafuta jinsi ambayo waagizaji binafsi walipe kodi.
Viwanda vinapo agiza sukari serikali hukusanya 100% ya kodi yote inavyotakiwa kulipwa kwenye sukari lakini wanapoagiza wafanya biashara binafsi 51% ya kodi hupotea.
Sasa tufanye nini ? Tusaidiane hapo.
Ndio tusaidiane, kusema ni uzembe wa serikali sio jibu ya hili tatizo. Toa ushauri tufanye nini hapa.Huo ni uzembe wa serikali yenyewe kwa kuendekeza rushwa!
Hapa sasa ndiyo pa kufanyia kazi kupitia SUDECO ambaye ni regulator na TRA mkusanya mapato. Kama kuna udhaifu basi hatua zichukuliweUmejitahidi kuzungumzia sukari kwa upana lakini hukugusa tatizo la sukari na kodi.
Mahitaji ya sukari kwa nchi ni kama 450,000 tons mpaka tons 500,000 ukiweka na matumizi ya majirani zetu kama vile Congo na Burundi ambao huingiza sukari nchini mwao kupitia sukari tunayo iingiza ama kuzalisha nchini kwetu.
Katika kodi sukari inayo agizwa ni nyingi kuliko tunayo zalisha lakini kwenye malipo ya kodi ni 17% tuu ya mapato hulipwa na waagizaji wakati 82.75 ya kozi ya sukari hutokana na malipo ya viwanda vya ndani vinavyo zalisha sukari.
Sasa hapa ni mama kutafuta jinsi ambayo waagizaji binafsi walipe kodi.
Viwanda vinapo agiza sukari serikali hukusanya 100% ya kodi yote inavyotakiwa kulipwa kwenye sukari lakini wanapoagiza wafanya biashara binafsi 51% ya kodi hupotea.
Sasa tufanye nini ? Tusaidiane hapo.
Ni vizuri jembe likaitwa jembe,lugha iko sahihi kabisa.Una point ila umetumia tumia lugha kali kwenye andiko lako hope mods watarekebisha na siyo kuufuta huu uzi!
Ushauri ni kwamba serikali itoe vibali vya kuagiza sukari bila urasimu. Kwa kufanya hivyo itawatambua waagizaji sukari na kupata kodi. Sukari ikifurika nchini hakuna mfanyabiashara mjinga ataomba kibali cha kuagiza sukari.Ndio tusaidiane, kusema ni uzembe wa serikali sio jibu ya hili tatizo. Toa ushauri tufanye nini hapa.
Einstein kwenye kitabu chake hundred authors against Einstein anasema "if i was wrong one could be enough".Kipindi chote alikuwa chizi, walikuwa wanamshika shika, na jk alifikiri ni mkali kuwa angetufaa, kumbe si mkali ni chizi, mara kuchoma vifaranga, mara kuruhusu mambo ya sabaya na bashite, we unamwonaje?
Makosa ya utawala wa awamu ya 5 yatamkwe kwa lengo la kujua maeneo ya kurekebisha, na siyo kuhukumu. Marehemu hahukumiwi.Einstein kwenye kitabu chake hundred authors against Einstein anasema "if i was wrong one could be enough".
Kama Magufuli angekuwa mbaya kwa kiwango hicho msinge hangaika kila siku ku-prove ubaya wake ungeonekana
wazi bila nguvu kubwa mnayotumia.
Pengine mtu mmoja(lisu) tu angetosha kutaja mabaya ya Magufuli na watanzania wa kamuelewa.
Haina haja ya kurudia kila siku Magufuli alikuwa chizi kama alikuwa chizi mtu mmoja angeeleweka
na watanzania Magufuli alikuwa chizi na sio kampen kama mnavyofanya sasa.