Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Nikiangalia kutoka upande mwingine naona hapa kuna kitu kingine kati ya huyu bidada na mtuhumiwa.
Kutongozwa sio kasa (naamini hata mleta maada anakubali), sasa kosa liko wapi?
Awe muwazi, kama walikuwa wawili wanagombea mwenzake kaopoa halafu yeye hasira zake analeta hapa aseme pia, kwani tupo wengine pia.

Kabisa inawezekana mihasira yake yote anataka kuimalizia hapa. Sababu mie sioni kosa la mtongozaji PM ipo mtumie hayo maneno roho yako itulie
 
Well said. Wakati wanaalikana mbona hakuja kutuambia yamemfika ndo analalamika

Si lazima muwe mmealikana wala kukutana,personally nimepata PM za hao watu,na sijawahi kukutana na hata member mmoja wa JF,wanasema wenyewe through PM's mi nimeoa blah blah blah,hatuko hapa kuiba waume za watu....na hapa halalamiki mtu,kinachosemwa ni si tabia nzuri,iachwe!!!PERIOD.
 
mmmh ni maskio yangu au macho yangu hayasomi vzr?
nashukuru nilipoku approach ukanipiga kibuti haukunianzishia thread,halafu natumaini kimey hajui hakikisha haoni hii asije akatoka usalule na mapanga
 
Unajua sijui wanaangalia nini,coz kabisa anasema nimeoa but but but but.....................
Bora utongozwe na watu wasio na ndoa but mtu ameoa,do we look or sound like home-breaker's?????
Hell No!GOD FORBID!!

Ukiona hivyo mpotezeee no chance any more wanini sasa huyo??
Ataanza ooohh nawahi home sijui kimepanda kimeshuka potezelea kwa mbali
Lakini usije muanzishia thread humu
 
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?

Aisee hii kitu imekula kwangu....basi bidada nitaacha kukutongoza....:A S 39:
 
Kumbe wewe unataka kutongozwa na vidogodogo??!!
Ni PM basi mimi coz ni Kidogodogo chenzio!!!:A S-heart-2:

WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
 
Kabisa inawezekana mihasira yake yote anataka kuimalizia hapa. Sababu mie sioni kosa la mtongozaji PM ipo mtumie hayo maneno roho yako itulie

Hivi Dena kutongozwa ni ajabu ama ni kitu kipya???hebu naomba jibu maana simuoni fainest
 
Naogopa kukudai baada ya two weeks ukirudi kutoka moro kwa francis cheka naweza kuambulia makonde

ntakukubalia then ntakuja kushtak umu...uyu kantongoza afu nkampa mwambien mi stak tenaaaaaaaaaaaa:smile-big:
 
jamani kutongoza si kosa,ila kinacholalamikiwa na bidada hapa ni mibaba mijitu mizima kabisa kumtongoza kibinti kidogo.
na inaonyesha amekataliwa na bado anakomalia tu.
 
Kabisa inawezekana mihasira yake yote anataka kuimalizia hapa. Sababu mie sioni kosa la mtongozaji PM ipo mtumie hayo maneno roho yako itulie

Haswa kwa sababu kama kutongozwa naamini anatongozwa kila siku, kwanini hajaleta ya wengine ila member wa JF ndio limekuwa tatizo!
Mimi ni msukuma, kama yeye ni mchaga mwambieni anitafute nimpe pumziko la nafsi, hah hah!!
 
Si lazima muwe mmealikana wala kukutana,personally nimepata PM za hao watu,na sijawahi kukutana na hata member mmoja wa JF,wanasema wenyewe through PM's....na hapa halalamiki mtu,kinachosemwa ni si tabia nzuri,iachwe!!!PERIOD.

Ukizungumzia PM kwangu inanigusa mpaka nilipata warning
kuwa inbox imejaa wakati ule nilivyoanzisha thread ya infii.
Lakini ni wewe mwenyewe unahitaji akili mkichwa.
Kama wamekutana wametumiana PM wamalizane huko huko
mie ha ha kama ni wahanga wa PM basi nami mmojawapo
mpaka nikaanza kudelete bila hata kusoma.
AKILI MKICHWA
 
Aisee hii kitu imekula kwangu....basi bidada nitaacha kukutongoza....:A S 39:
basi ngoja nkutongoze mimi...utashtak kwan?
rr MINAKUPENDA..unasemeje sasa?
nataka NIKUOE,.......:smile-big:
NTAKUNUNULIA :plane:
NA SHOPING KILA WIK DUBAI
 
nashukuru nilipoku approach ukanipiga kibuti haukunianzishia thread,halafu natumaini kimey hajui hakikisha haoni hii asije akatoka usalule na mapanga

hii sred imenikumbusha kuwa napaswa nianike ufataki wako ili ukome,,,kimey wangu sijui katekwa wapi come for rescue
 
basi ngoja nkutongoze mimi...utashtak kwan?
rr MINAKUPENDA..unasemeje sasa?
nataka NIKUOE,.......:smile-big:
NTAKUNUNULIA :plane:
NA SHOPING KILA WIK DUBAI

Ngoja nikachume majani hapo nje...BRB
 
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?

Mambo mengine hayana sababu ya kuyaanzishia sredi.

MM nikiwa jf, ofisini, mtaani, kijiweni ama mahali pengine popote ninakuwa ni yule yule. Binafsi sishangai kwa mwanamke kutongozwa.
Halafu kujaribu kujenga taswira kwamba members wa jf ni binadamu wa tofauti ni kujaribu kujidanganya sisi wenyewe. Sisi ni miongoni mwa jamii ya kitanzania kama walivyo wengine, humu humu kuna mafataki, mafisadi, wafia dini, waungwana, macheki bobu na kila aina ya watu kama tulivyo huko mitaani na kwingineko. Muhimu hapo ni kuangalia kama mistari yake haina vina unampotezea na maisha yanaendelea, kwakuwa kama kuna ambaye alikuimbisha ukamkubali na hukuja kutushirikisha furaha yako hapa, basi huyo naye mpe za uso hata kama ni mbishi!! watu wanatongoza mwaka mzima bila kuchoka, usifanye mchezo.

Hii kitu inavyoelekea itasababisha watu waogope kukutana face 2 face wakiogopa kutongozwa!!:smile-big:
 
Back
Top Bottom